Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya CHRISTINA SHUSHO

WIMBO MPYA WA CHRISTINA SHUSHO I'M GONNA WORK FOR THE LORD UCHECK HAPA

Picha
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Christina Shusho ametoa wimbo unaitwa I'm gonna work for the lord ni wimbo umeimbwa kwa mahadhi ya south africa na umeibwa kiingeleza na kiswahili kidogo na video yake imechukuliwa pande za umasaini na wameva mavazi ya kimasai kuwakilisha utamaduni wa kiafrica imerekodiwa na kampuni ya Mind vision International chini ya Tiger.Mwimbaji huyu naona sasa analenga uimbaji wa kimataifa kwa kuchanganya wimbo wake na lugha ya kingleza.             KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

ANGALIA WIMBO MPYA WA CHRISTINA SHUSHO NINANG'ARA

Picha
Wimbo mpya wa mwimbaji wa injili Christina Shusho uitwao Nitanga'ar, umetoka mwishoni mwa mwaka jana 2014 na upo mtandaoni tayari unaweza kuuangalia hapo chini.            KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

TAMASHA LA UZINDUZI WA ALBAM NAMPENDA YESU YA KIJITONYAMA YOUTH CHOIR SI YA KUKOSA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

KAMA UNA NAFASI USIPANGE KUKOSA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

UNABII ULIOTOLEWA NA REV BEN KUMHUSU MWIMBAJI WA NYIMBO ZA HIPHOP GAZUKO WATIMIA

Picha
Ni mwezi sasa umepita ambapo mwimbaji wa nyimbo za Gospel Hiphop anayejulikana kwa jina la Gazuko alipohudhulia katika ibada zinazofanyika katika kanisa la Assaph Ministries International Buguruni Rozana. katika ibada hiyo Mtumishi wa Mungu Assaph Benjamini alitoa unabii kumhusu mwimbaji huyo na kusema Bwana atamwinua na atakuwa mumbaji wa kimataifa na huduma yake ni kubwa. Christina Shusho na Rose Mhando ambao nao wako kwenye tuzo hizo  baada ya mwezi mumbaji huyo alichaguliwa kuwania katika tuzo ya waimbaji wa hiphop africa ambazo zinaandaliwa na AGMA ambao wako UK. Tulipopata taarifa tuliwasiliana nae kuhusu hilo alisema amefurahi sana hadi anatokwa na machozi hakuwa amewaza wala kutegemea kuwa mmoja wa watu wa kuwania tuzo kama hizo. Mwimbaji Gazuko aliyetolewa unabii na kutimia AGMA mwaka huu watatoa tuzo kwa mwaka wa 5 na miaka ya nyuma waimbaji wa TZ ambao wamewahi kuwania tuzo hizo ni Christina shusho, Martha Mwaipaja, na mwaka huu ni Chistin...

GAZUKO KUIWAKILISHA TANZANIA KATIKA TUZO ZA AGMA, SHUSHO KAMA KAWAIDA NAE YUMO

Picha
 Mwimbaji wa nyimbo za Gospel hip hap anayekuja kwa kasi hapa Tanzania, Gazuko amekuwa kati ya waimbaji kutoka sehemu mbalimbali kugombea tuzo ya mwanamziki bora katika Rap. Africa Gospel Music Awards ambao hutoa tuzo hizo kila mwaka, wametoka orodha ya waimbaji walioingia katika kinyanganyilo hicho. Gazuko ambaye sasa anatamba na kibao chake Acha kulia kilichorekodiwa na Kingdom Media ya Marekani. Big up kwao kingdom media kwa kuibua kipaji hiki mpaka kimataifa. mwimbaji mkongwe hapa nchini Shusho nae yumo katika kuwakilisha vilivyo nchi yetu Shusho ambaye si mara yake ya kwanza amekuwa akishiriki sana katika medali hii ya tuzo za kimataifa kila la heri na tuwapigie kura waimbaji wetu katika tuzo hizo.  Ikumbukwe kuwa mwaka jana katika tuzo hizi walioshiriki alikuwa Shusho na M. Mwaipaja, mwaka huu amekuwa Shusho na Gazuko mwa YOM tunatakiwa kuwapigia kura ili waweze kutwaa tuzo hizo ili kupiga kura fuata link hii  http://www.africagospelawards.com/ na utabony...

JESCER MICHAEL NI CHIPUKIZI WA NYIMBO ZA INJILI, MWENYE KIPAJI CHA KUTUNGA NA KUIMBA, MALENGO YAKE NI KUUFIKIA ULIMWENGU KWA UIMBAJI.

Picha
Mkoa wa Dodoma ni kati ya mikoa ambayo kuna waimbaji maarufu wa injili hapa Tanzania vile vile iko mikoa kama Mbeya, Kigoma, Arusha, Dar na kwingineko. ukitaja jina kama Rose Mhando ni jina linalojulikana sana na ni malkia wa nyimbo za injili hapa Tanzania na hata kuweza kuweka mkataba na kampuni kubwa la mziki hapa Africa.  lakini katika mkoa huu wa Dodoma kuna waimbaji wengi sana ni under Ground na wengine ndo wana chipukia. Blog hii ilipata nafasi ya kuonana na baadhi ya waimbaji hao mjini Dodoma na kufanya nao mahojiano kujua machache katika huduma zao. kama mnavyojua na ni ukweli usio pingika kuwa kwa sasa mziki wa injili Tanzania umeshika hatamu kuliko miziki wowote. na hii ni kutokana na umahili na kazi nzuri zinazofanywa na watu wote katika muziki huu wa Gospel hii ni pamoja na waimbaji, wapigaji ala za muziki, maproduza wa audio na Video pamoja na wasambaji wa kazi hizi wamekuwa na mchango mkubwa, hii imeleta kutokea kwa uamusho na kuwa na waimbaji wengi wanaochipu...

PICHA ZA MATUKIO YA IBADA YA SHUKRANI YA KUTIMIZA MWAKA MMOJA WA KANISA LA TAG MOROCCO CWC (CITY WORSHIP CENTRE) KWA MCH TIMOTH MWITA

Picha
KANISA LA CWC NI KANISA LA LILILO CHINI YA TAG AMBALO LINAONGOZWA NA MCH TIMOTH MWITA. KANISA HILO LILIFUNGULIWA MWAKA JANA TAR 03/02/2013 NA SASA NI MWAKA MMOJA TANGU KUANZISHWA KANISA HILO LIMEFANYA IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTIMIZA KWAKA MMOJA CHINI NI PICHA ZA MATUKIO. Mwimbaji Chapa Nyota akiimba Watumishi wakifuatilia Jambo madhabahuni.   Mch Timoth akiombea wahitaji wakati wa ibada Maombi na maombezi yakiendelea Hawa ndio waliookoka katika ibada hiyo Watumishi waliokuwa wamealikwa Praise team ya CWC wakiwa kazini Mwimbaji mkongwe wa Injili Amoni kilahiro alikuwepo kuhakikisa uimbaji unakaa sawa. Mch Kiongozi Timoth akikabidhi zawadi ya picha kwa mkurugezi wa chuo cha Sunrise kwa kuruhusu kutumia eneo la shule yake na kujitolea katika mambo mengi ya kanisa hilo. Mama huyu ambaye ni mkurugenzi mkuu wa shule ya Sunrise akitoa shukrani zake baada ya kanisa kumpatia  zawadi ya picha. Mama h...

NATAKA NIJUEE YA CHRISTINA SHUSHO LIVE CCC JUMAPILI

Picha
Katika Tamasha la Live Recording ya Christina Shusho... anategemea kuafanya collabo na waimbaji kadhaaa akiwepo Bro Joshua MLELWA ambaye mie binafsi yangu namkubaligi mbaaaya... i mean mbaaaya!!!! kwa wasio mfahamu Joshua aling'ara saana akiwa na kundi la Upendo Group kabla haja simama kivyake pamoja na mkewe. Huyu jamaa ananguvu ya ajabu saana awapo jukwaani and he is very anointed... Nakumbuka nilikuwa naye kwenye hudumua katika kanisa moja kahama wimbo wake wa "Ni wewe" ulitibua hali ya hewa kwa nguvu za Roho mtakatifu isivyo kawaida... Sasa TAREHE 24 pale CCC UPANGA, ataimba nyimbo zake lakini pia atafanya wimbo maalumu pamoja na CHRISTINA. Waimbaji wengine ambao watafanya collabo na Shusho ni UPENDO KILAHIRO na kundi la THE VOICE. DONT PLAN TO MISS THIS BIG EVENT. KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmale...

WAIMBAJI WA TANZANIA KUSHIRIKI TAMASHA LA KIMATAIFA MAREKANI

Picha
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania Christina Shusho anatarajia kushiriki Tamasha la The International Gospel Music festival kwa Mwaka 2013, lililoandaliwa na Kanisa la All Nation Break Through lililoko lililoko Columbus, Ohio, USA chini ya Watumishi wa Mungu Pastor Donnis & Nnunu Nkone. Waimbaji wengine watakaoshiriki ni pamoja na Upendo Nkone, Pastor Daniel Kiza na Wengine wengi watakaoendelea kutangazwa siku chache zijazo. Taarifa zaidi kuhusu Muda na Sehemu zitatolewa hivi karibuni.  KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Follow Adonai Media