NEW JERUSALEM BROTHERS WAIMBAJI WENYE MAONO YA KUMILIKI STUDIO. KUFUATA NYAYO ZA THE VOICE
Kundi la New Jerusalem Brothers ni kundi la waimbaji wanaomba uimbaji wa akapela wakizunguza na na blog hii walikuwa na haya ya kusema Moja.:Tunaitaji kufanya video shooting ya album yetu ya kwanza ijulikanayo kwa jina la nitamsifu Bwana yenye nyimbo za accapela nne zenye ubora mzuri sana na nyimbo zinginne tukiwa tumeimba na track ambazo ni mungu wangu ambao ni wa makoma sisi tuimba kwa kiswahili kwa namna ya ajabu sana na nyingine natembea nuruni nakutegemea Bwana Yesu atarudi ni nzuri Pili; lengo jingine ni kuwa na studio yetu itakayo kuwa ni mradi wetu ambayo itakuwa ikifanya kazi ya kurekodi nyimbo zetu pamoja na za wengine katika fani zote Tatu; nikufanya kazi ya mungu kwa nguvu na kwa kasi kwa sababu sisi ni vijana tunanguvu hata biblia inashuhudia hayo Nne; kufanya perfomance za ndani na nje ya nchi kwa kusudi la kumsifu mungu na kufundisha wengine habari ...