Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MAZISHI

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN CENTRAL TANGANYIKA

Picha
  Waziri mkuu Mizengo Pinda na mkewe wakitoa heshima za mwisho walipokuwa wakiuaga mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika Godfrey Mdimi Mhogolo kabla ya ibada ya mazishi iliyofanyika katika kanisa la roho mtakatifu Dodoma.   Mjane wa Marehemu aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglican Central Tanganika Godfey Mhogolo, Iren Mhogolo akiwa mwenye huzuni pembeni ya jeneza kabla ya kuingizwa kaburini.  Maaskofu mbalimbali wa kanisa la Aglican wakilishusha jeneza lenye mwili wa aliyekuwa  Askofu wa kanisa hilo Central Tanganika Godfrey Mdimi Mhogolo kaburini, katika mazishi yaliyofanyika nje ya kanisa la Roho Mtakatifu maarufu  la Mtungi Mjini Dodoma.  Maaskofu mbalimbali wa kanisa la Aglican wakiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika aliyefariki Mwishoni mwa mwezi uliopita alipokuwa kwenye matibabu nchini Africa ya kusini. ...

Follow Adonai Media