e-book
E-Books
Christian E-books
Welcome to our E-books Library.
This page provides access to Christian books, Bible study materials, and spiritual growth resources designed to help believers grow in faith and knowledge of God's Word.
Available Resources
• Bible Study Guides
• Christian Leadership Materials
• Discipleship Resources
• Prayer and Devotional Books
• Ministry Training Materials
New resources will be added regularly.
Stay connected with Adonai Media for future updates.
Karibu kwenye maktaba ya Adonai Media.
Hapa utapata vitabu vya kielektroniki (PDF) vinavyohusu mafundisho ya Biblia, historia za mitume, ukuaji wa kiroho, na masomo mbalimbali ya Kikristo.
Vitabu Vinavyopatikana
1. Maneno Saba ya Yesu Msalabani
Maelezo ya kina kuhusu maneno saba ya Yesu alipokuwa msalabani pamoja na mafundisho yake.
Bei: Tsh 5,000
2. Historia ya Mtume Thomas
Safari ya Mtume Thomas, huduma yake, namna alivyofika India na urithi wake katika Ukristo.
Bei: Tsh 5,000
3. Mafundisho ya Nguvu ya Maombi
Mwongozo wa maombi kwa Mkristo anayehitaji kukua kiroho.
Bei: Tsh 5,000
Jinsi ya Kupata E-Book
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp:
+255 784 477 775
Baada ya kuthibitisha malipo utatumiwa E-book yako kwa njia ya PDF.
Asante kwa kuunga mkono huduma ya Adonai Media.
Mungu akubariki.
Maoni