Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya AL SHABABU

WAISLAMU WAOKOA WAKRISTO WALIOTEKWA NA ALSHABABU

Picha
                             Waislamu waokoa wakristu waliotekwa na Alshabab Watu wawili wameuwawa na wengine watatu kujeruhiwa vibaya baada ya wapiganaji wa kundi la al Shabaab kushambulia basi moja la abiria lilokuwa likielekea eneo la Mandera Kaskazini mwa kenya kutoka Nairobi. Shambulio hilo la kigaidi lilitekelezwa hii leo asubuhi. Walioshuhudia wameambia mwandishi wa BBC kuwa abiria wa kiislamu waliwalinda wenzao wakristo kwa kukataa kugawanywa kwa makundi. Wasafiri waislamu nchini Kenya walilazimika kuingilia kati kuokoa maisha ya wakristu waliokuwa nao katika basi lililotekwa na wapiganaji ...

Follow Adonai Media