HIVI NDIVYO UZINDUZI WA FLORA MBASHA ULIVYOKUWA, MGENI RASMI ALIKUWA MH MBOWE
Muimbaji wa muziki wa Gospel Tanzania Flora Mbasha amefanya uazinduzi wa DVD yake pamoja na Band yake mpya siku ya J/pili katika ukumbi wa Ubungo Plaza.Uzinduzi huo uliokua na matukio mbalimbali yakiwemo Makirikiri pamoja na waimbaji kama Ambwene Mwasongwe,Joseph Nyuki,Christopher Mwahangila,Christina Matai,Neema Gasper,na Furaha Isaya. Flora Mbasha ndiye aliye fungua uzinduzi huo akiwa anasindikizwa na Makirikiri na kufatiwa na mgeni rasmi Mh Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA. Hapa nimekuwekea matukio ya picha Flora Mbasha mamaa wa vocalll!! Back vocal Coordinator Peter Hapa ni VIP (Ubungo Plaza) Flora Mbasha akimsubiri mgeni rasmi. Blogger Jimmy na Ambwene Mwasongwe khaa!! Wadau na wapenzi wa muziki wa Ambwene…katika pozi la picha Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA Freeman Mbowe. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na ...