Ijumaa, 12 Juni 2015

WIMBO MPYA WA CHRISTINA SHUSHO I'M GONNA WORK FOR THE LORD UCHECK HAPA

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Christina Shusho ametoa wimbo unaitwa I'm gonna work for the lord ni wimbo umeimbwa kwa mahadhi ya south africa na umeibwa kiingeleza na kiswahili kidogo na video yake imechukuliwa pande za umasaini na wameva mavazi ya kimasai kuwakilisha utamaduni wa kiafrica imerekodiwa na kampuni ya Mind vision International chini ya Tiger.Mwimbaji huyu naona sasa analenga uimbaji wa kimataifa kwa kuchanganya wimbo wake na lugha ya kingleza.
            KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Hakuna maoni: