Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania Christina Shusho anatarajia
kushiriki Tamasha la The International Gospel Music festival kwa Mwaka
2013, lililoandaliwa na Kanisa la All Nation Break Through lililoko
lililoko Columbus, Ohio, USA chini ya Watumishi wa Mungu Pastor Donnis
& Nnunu Nkone.
Waimbaji wengine watakaoshiriki ni pamoja na Upendo Nkone, Pastor Daniel
Kiza na Wengine wengi watakaoendelea kutangazwa siku chache zijazo.
Taarifa zaidi kuhusu Muda na Sehemu zitatolewa hivi karibuni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni