Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya An Old Christmas Card

KUELEKEA SIKUKUU KUBWA PATA HISTORIA YA MAISHA YA JIM TRAVIS REEVES MTUNZI WA NYIMBO ZA CHRISTMASS ZISIZOCHUJA KILA MWAKA

Picha
Hii ni historia ya maisha ya Jammy Reeves             Maisha yake ya awali na elimu J AMES Travis Reeves alizaliwa Agosti 20, 1923 huko Galloway, Texas nchini Marekani, kijiji kidogo karibu na Carthage , pia alijulikana kwa jina la ushabiki la Gentleman Jim. Alishinda skolaship ya mchezo wa riadha; ya kwenda kusoma chuo kikuu cha Texas , alidahiliwa kusoma kozi ya hotuba na maigizo, lakini aliacha masomo ndani ya muda wa majuma sita tu na kwenda kufanyakazi kama kuli huko Houston . Muda siyo mrefu alirejea mchezo wake wa nyenje/kriketi, akicheza ligi daraja la pili kabla ya kuingia mkataba na timu ya shamba la St. Louis Cardinals mnamo mwaka 1944 kama mchezaji mahiri mwenye kutumia zaidi mkono wa kulia. Alichezea ligi za chini kwa miaka mitatu kabla ya kuumia kwa diski ya uti wake wa mgongo [sciatic nerve] kujiachia akiwa uwanjani na kuhitimisha kabi...

Follow Adonai Media