Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Clouds

UNAAMBIWA EVENT YA CHRISTMAS CAROLS HAINA MFANO WALIOKOSA DUH.PICHA 30 ZIKO HAPA

Picha
Kwa mara ya kwanza siku ya jana wakazi wa Dar es salaam wame enjoy na party kubwa iliyofanyika Mlimani City kwenye parking za magari kisha kumshukuru Mungu kwa pamoja katika kuelekea katika sikuku ya Chritsmas. Party hii ilipewa jina la Christmas Carlos Night ambayo iliandaliwa na Clouds ikishirikiana Chomoza ya Clouds TV,GT-ya Harris Kapiga pamoja na Mliman City,kwaya mbalimbali zilijumuika na kisha kutoa burudani kwa watu waliofika kwenye party hii ambayo haikua na kiingilio. Umati mkubwa wa watu kutoka katika kono ya Tanzania walifurika kushuhudia historia kwa mara ya kwanza event ya Gospel kufanyika kwenye parking za magari Mliman City….Unambiwa haikuwahi kutokea kwani kila aliyefika aliondoka akisema muda mdogo huku wengine wakidai tuendeleeee!! Tazama matukio ya picha kwa hisani kubwa ya Unclejimmytemu.com Children’s Choir (DPC) walitisha sanaaaaa Hapana Chezea umati mkubwa wa watu…peopleeeeee!! Rivers of life w...

Follow Adonai Media