Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Father Christmas

JUA HISTORIA YA SIKUKUU KUBWA YA CHRISTMAS NA SHAMLASHAMLA ZAKE

Picha
Kwa muda mrefu sikukuu ya krismasi imejulikana kuwa na sikukuu kubwa sana na inaweza kuwa ya kwanza kusherehekewa na watu wengi duniani na dini karibu zote. sikukuu hii ambayo hukumbuka kuzaliwa kwa Yesu kristo hapa duniani. katika nchi zilizoendelea huwa wanaanza shamla shamla za sikuu hii tangu mwezi wa November maduka nyuma ofisi hupambwa na kuanza kuuza vitu vyingi vinavyohusiana na sikukuu hii kubwa Duniani.   kumekuwa na utata wa mambo mengi ikiwa uhusika wa father Chrismas, miti ya michrismas pamoja na taa za vimweku mavazi mekundu na meupe. nataka leo tuangalie uhusika wa baba christmas mwenye ndevu nyeupe rangi ya uwaridi mashavuni na anavaa nguo nyekundu.hii imetokana na tangazo la biashara lililobuniwa na kampuni moja ya vinywaji baridihuko america ya kasikazini kati ya mwaka 1931. katika miaka ya 1950 baathi ya watu huko brazil walijaribu kubadili cheo cha baba chrismass na kumpa mtu wa taifa lao waliyemwita babu wa India. matokeo yalikuwaje? si kuwa tu babu...

Follow Adonai Media