Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Kingdom Media

KARIBU UTAZAME VIDEO TEASER YA WIMBO MPYA WA UPENDO KILAHIRO

Picha
Kwa mara ya kwanza tazama teaser ya wimbo mpya wa Upendo Kilahiro (FICHO LANGU) akiwa ameufanya nchini Marekani  chini ya Kampuni ya Kingdom Entertainment. Official music video world premiere inakujia kwa hisani kubwa ya Chomoza ya Clouds TV show,Kingdom Entertainment,na Kiango Media       KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

HUYU MWANAUME DUUUUH HEBU MWANGALIE MWENYEWE( CHRISTIAN CLIP)

Picha
Tabia ya Matilda yabadilika ghafla ndani ya ndoa, mumewe John anachanganyikiwa nusura aikimbie nyumba. Matilda alipoulizwa, jibu lake liliipindua ndoa nzima. Angalia ujue ni siri gani Matilda aliyoilipua. Baada ya mfumo wake wa ndoa kwenda kusikoeleweka, kwa hofu nyingi na ghadhabu, John anaamua kwenda na mke wake Matilda katika Ofisi ya Ushahuri wa ndoa, katikati ya maongezi Matilda anafungua siri kubwa iliyopindua ndoa nzima ya John, na kumfanya ajione ni mjinga sana, huku Mshahuri akibakia Mdomo wazi... Ni siri gani hiyo?, Fuatilia kisa hiki katika filamu fupi hii ya kikirsto, itakayokufanya umfikirie Mungu kwa upya katika ndoa yako.   https://www.youtube.com/watch?v=aqeUQMJ2rCM&feature=youtu.be&a  KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

WIMBO WA ROHO SHUKA WA MIRIAM LUKINDO ULIOTENGENEZWA NA KINGDOM MEDIA HUU HAPA. ANGALIA

Picha
Ule wimbo wa Mirium Lukindo wa Mauki uliokuwa unasubiriwa kwa hamu ambao video yake imetengenezwa na kampuni kutoka marekani ijulikanayo kwa jina la kingdom media sasa umeshatoka unaweza kuuona hapa, wimbo huo unaokwenda kwa jina la Roho shuka ambayo ni wa kuabudu. KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, what up 0784477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

HATIMAYE VIDEO YA WIMBO NIMEZIMA UKIMYA WA JESSCA WAKAMILIKA NI KUTOKA KINGDOM MEDIA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

JESUS IS MY VALENTINE

Picha
WIMBO MAALUMU KWA VALENTINE YESU AWE VALENTINE WAKO MAANA YEYE NDIYE MWENYE UPENDO WA KWELI KWAKO. KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Follow Adonai Media