Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya John Lisu

JOHN LISU AANDA TAMASHA LA KUKATA KIU YAKO TAR 14/06/2015

Picha
Mwimaji John Lisu ameandaa tamasha la KIU, mwimbaji huyo ambaye huwa anafanya matamasha ya kuimba live, amesema kutokana na kutokufanya tamasha lolote ndani ya jiji la Dar es Salaam, watu wengi wamemtaka kufanya tamasha ili wakate kiu yao, kwa kuona kiu hiyo ya washabiki wangu nimeamua kuliita tamasha hilo KIU, nawakaribisha watu wote katika jiji la Dar waje wakate kiu yao siku hiyo na watakutana na nguvu za Mungu na kusababisha kiu yao yote kuisha. Tamasha hilo litafanyika Tarehe 14/06/2015 katika kanisa la VCC Mbezi kuanzia saa 3:00PM, katika tamasha hilo atatambulisha nyimbo zake mpya ambazo ataziimba kwa mara ya kwanza katika tamasha hilo. amesema waimabaji wengine watakao msindikiza katika tamasha hilo ni pamoja na Pastor Safari, mpuliza mdomo wa bata maarufu Mise, Angel Magotti, na the Voice. John Lisu amemalizia kwa kusema kuwa watu wanaruhusiwa kuchagua nyimbo ambazo wanataka aimbe katika tamasha hilo ili kukata kitu yao wasiliana nae kama una wimbo unataka aimbe.   ...

MKESHA WA MWAKA MPYA DPC

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

MSHIRIKI WA HEAVEN TALENT FLAVOR SEARCH BENJAMINI KISUMO YUKO KARIBU KUPAKUWA ALBAMU YAKE SIKIA WIMBO MMOJA HAPA

Picha
Mshiriki wa heaven talent flavor search iliyokuwa ikirushwa kwenye kituo cha tv TBC1 Benjamini Kisumo, huko mbioni kupakuwa albamu yake hivi karibuni, akizungumza na blog hii alisema albamu hiyo inapikwa na producer mahiri mkoani Dodoma Sam Richard, kwa sasa tuko kwenye touch za mwisho kabisa kwa baadhi ya nyimbo. Itakuwa tayari hivi karibuni na kila kitu kimefanya na Sam na ninamshukuru producer wangu kwa kuweza kushirikiana nami kufanikisha kazi hii kubwa alisema Benja. Albamu hiyo ina nyimbo 8 na itakwenda kwa jina la Nimesikia habari zako. Benja akiwa na Producer Sam na Elia Producer Sam Richard akiwa kazini Kuingiza Vocal  Kila kitu kinawekwa sawa.  Unaweza kusikiliza wimbo mmoja hapa. Blog hi inamtakia mafanikio mema katika kukamilisha kazi yake na Bwana ambariki. KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu ...

KAMA KAWAIDA TAMASHA LA KILA MWEZI DPC SI LA KUKOSA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

WATU WA MWANZA MUSIKOSE JOHN LISU

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

HELKOPTA YA GWAJIMA YAZINDULIWA, MGENI RASMI ALIKUWA MH LOWASA

Picha
Mh Edward Lowassa amewahutubia waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima katika Uzinduzi Wa helkopta ya Kuhubiri Injili pamoja kusaidia zoezi la uokoaji wa majanga mbalimbali kama vile wakati wa Ajali,mafuriko,moto nk. yanayojitkeza katika Taifa la Tanzania.Mh Lowassa Amesema atashirikiana nao na kuhakikisha wanapata eneo la kudumu la kuabudia.Kwa Upande wake Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Josephat Gwajima amesema Mpango wao ifikapo mwezi kama huu mwakani watakuwa wameshaagiza helkpta nyingine tatu kwa Ajili ya Kuhubiri Injili na Kusaidia katika shughuli za kijamii. Bonny Mwaitege akiimba KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

UKO HAPA YA JOHN LISU KUZINDULIWA DIAMOND JUBILEE 05/10/2014

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

KAMA UNA NAFASI USIPANGE KUKOSA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

TAMSHA LA PASAKA MWANZA. ZIKIWEMO NA PICHA ZA REBECCA MALOPE AKIIMBA.

Picha
Hatimae tamasha la pasaka limefanyika kule Mwanza na huku malkia wa gospel Africa Rebecca Malope akikoga nyoyo za wakazi wa Mwanza, tamasha hilo liliandaliwa na msama promotion na huwa linafanyika kila mwaka msimu wa pasaka.  Rebecca Malope kutoka Afrika kusini akifanya kweli kwenye Tamsha la Pasaka Mwanza.    Rebecca Malope akifanya kweli    Mh William Ngereja akiwa amenyanyua albam mbili za muimbaji Grace Mwikwabe baada ya kuzizindua,kulia ni Alex Msama mkurugenzi wa Msama Promotion.  Kushoto ni HK 1 Hadson Kamoga,Alex Msama,John Lisu,The voice,na Mess Jacob.  Upendo Kirahilo kama kawa akifanya kweli mdau wangu.  Mama wa Lisema...Sara K kutoka Kenya akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki.   Picha zote na Full Shangwe... KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembele...

TAMASHA LA PASAKA HIVI NDIVYO KEKE ALIVYOTOKELEZEA

Picha
Tamasha la Muziki wa Injili la Pasaka limefanyika  katika Mkoa wa Dar-es-Salaam na maelfu ya Watanzania walijitokeza  kushuhudia wanamuziki wa Injili kutoka nchi mbalimbali kama Tanzania, Kenya, UK, Zambia na Afrika Ya Kusini.   Tamasha la Pasaka ambalo huandaliwa na Msama Promotion hufanyika kila wakati wa Pasaka na Christmas hapa nchini ili kutoa fursa kwa Wakristo kutoka madhehebu mbalimbali.kuweza kukusanyika kwa pamoja na kumtukuza Mungu wao. Katika Siku ya jana Mgeni rasmi wa Tamasha hilo alikuwa Mhe. Bernard Membe aliyemwakilisha Rais Jakaya Kikwete ambaye kwa sasa yupo nje Kikazi.   Baadhi ya Wanamuizi wa injili waliohudumu ni Upendo Nkone, Upendo Kilahiro, Sara K kutoka Kenya, Glorious Worship Team, John Lisu, Mwanamuziki kutoka UK na Keke Kutoka South Africa. Malkia wa Muziki wa injili Rose Muhando alipanda Jukwaani Saa 2 Usiku ili kuwahudumia watu. Mhe. Benard Membe akisikiliza risala kutoka kwa Mchungaji Mwasota ambaye ni Mwenyeki...

Follow Adonai Media