Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Gazuko

FUATILIA MAHOJIANO YA GAZUKO NA KIANGO ON LINE RADIO NA MTANGAZAJI FREAD MSUNGU, CHIEF DADY

Picha
Fuatilia mahojiano ya mwimbaji wa nyimbo Gospel Flavor Gazuko yaliyofanywa na mtangazaji wa kipingi cha havy weight, Fread Msungu ndani ya studio bora kabisa za kiango on line radio,                         KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

YESU NI BWANA YA GAZUKO SASA UKO HEWANI UNAWEZA KUUANGALIA HAPA

Picha
Mwimbaji wa njipo za gospel flava Gazuko Jr mwishoni mwa mwaka jana 2014 ameipua kibao kipya kinachosema Yeasu ni Bwana, wimbo huo umetengenezwa na The eagle view pro, chini yaproducer Edwin Mrope. wimbo huu umetoka rasmi mwaka huu 2015 uangalie hapo chni.                      KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

UNABII ULIOTOLEWA NA REV BEN KUMHUSU MWIMBAJI WA NYIMBO ZA HIPHOP GAZUKO WATIMIA

Picha
Ni mwezi sasa umepita ambapo mwimbaji wa nyimbo za Gospel Hiphop anayejulikana kwa jina la Gazuko alipohudhulia katika ibada zinazofanyika katika kanisa la Assaph Ministries International Buguruni Rozana. katika ibada hiyo Mtumishi wa Mungu Assaph Benjamini alitoa unabii kumhusu mwimbaji huyo na kusema Bwana atamwinua na atakuwa mumbaji wa kimataifa na huduma yake ni kubwa. Christina Shusho na Rose Mhando ambao nao wako kwenye tuzo hizo  baada ya mwezi mumbaji huyo alichaguliwa kuwania katika tuzo ya waimbaji wa hiphop africa ambazo zinaandaliwa na AGMA ambao wako UK. Tulipopata taarifa tuliwasiliana nae kuhusu hilo alisema amefurahi sana hadi anatokwa na machozi hakuwa amewaza wala kutegemea kuwa mmoja wa watu wa kuwania tuzo kama hizo. Mwimbaji Gazuko aliyetolewa unabii na kutimia AGMA mwaka huu watatoa tuzo kwa mwaka wa 5 na miaka ya nyuma waimbaji wa TZ ambao wamewahi kuwania tuzo hizo ni Christina shusho, Martha Mwaipaja, na mwaka huu ni Chistin...

GAZUKO KUIWAKILISHA TANZANIA KATIKA TUZO ZA AGMA, SHUSHO KAMA KAWAIDA NAE YUMO

Picha
 Mwimbaji wa nyimbo za Gospel hip hap anayekuja kwa kasi hapa Tanzania, Gazuko amekuwa kati ya waimbaji kutoka sehemu mbalimbali kugombea tuzo ya mwanamziki bora katika Rap. Africa Gospel Music Awards ambao hutoa tuzo hizo kila mwaka, wametoka orodha ya waimbaji walioingia katika kinyanganyilo hicho. Gazuko ambaye sasa anatamba na kibao chake Acha kulia kilichorekodiwa na Kingdom Media ya Marekani. Big up kwao kingdom media kwa kuibua kipaji hiki mpaka kimataifa. mwimbaji mkongwe hapa nchini Shusho nae yumo katika kuwakilisha vilivyo nchi yetu Shusho ambaye si mara yake ya kwanza amekuwa akishiriki sana katika medali hii ya tuzo za kimataifa kila la heri na tuwapigie kura waimbaji wetu katika tuzo hizo.  Ikumbukwe kuwa mwaka jana katika tuzo hizi walioshiriki alikuwa Shusho na M. Mwaipaja, mwaka huu amekuwa Shusho na Gazuko mwa YOM tunatakiwa kuwapigia kura ili waweze kutwaa tuzo hizo ili kupiga kura fuata link hii  http://www.africagospelawards.com/ na utabony...

Follow Adonai Media