Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MAISHA NA HUDUMA YA ASKOFU MOSES KULOLA. Moses Kulola

UZINDUZI WA KITABU CHA MAISHA NA HUDUMA YA ASKOFU MOSES KULOLA. SASA UNAWEZA KUKIPATA

Picha
Muonekano wa kitabu cha MAISHA NA HUDUMA YA MOSES KULOLA. Jumapili ya jana kumekuwa na tukio kubwa na muhimu limefanyika katika kanisa EAGT Temeke, karibu na hospital ya Temeke ambapo kitabu cha MAISHA NA HUDUMA YA MOSES KULOLA. kimezinduliwa rasmi na sasa kitauza nchi nzima. Kitabu hicho kimeandaliwa na kina historia nzima ya marehemu Askofu mkuu Moses Kulola. jinsi alivyoanza huduma  na maisha ya huduma kwa ujumla. sio kitabu cha kukoka.  Katika uzinduzi huo licha ya waumini wengi pamoja na watumishi wengi wa MUNGU kuhudhuria, walikuwepo pia mjane wa marehemu Kulola, Mama Kulola pamoja na Mchungaji Daniel Kulola ambaye ni mtoto wa askofu Kulola.  N i kitabu kinachogusa sana maana huduma ya Askofu Kulola ilikuwa ni muhimu sana katika Kanisa la Tanzania na kupitia huduma hiyo maaskofu na wachungaji wengi  maarufu leo ni zao la uinjilisti wa askofu Kulola. BWANA YESU alitenda kazi yake kupitia  mtumishi wake Askofu Kulola  kwa kiwango...

Follow Adonai Media