Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya AMBWENE MWASONGELA

OMBA YESU ANASIKIA YAZINDULIWA NCHINI MAREKANI NI ALBAMU YA TANO YA PENDO NKONE.

Picha
kwa mara ya kwanza Mwanamuziki wa nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania,Upendo Nkonne jumapili hii ameweka wakfu na kuzindua Album yake mpya ya tano inayokwenda kwa jina la ""Omba Yesu Anasikia " toka atoe album zingine za awali, uzinduzi ambao umefanyika nchini Marekani ndani ya kanisa la All Nations BreakThrough Church (ANBC) - Gahanna Ohio. upendo Nkone ni kati ya waimbaji wachache wa Tanzania ambao kwa sasa wanaenda nje ya nchi mara kwa mara kwa miariko ya kufanya huduma za uimbaji wa nyimbo za injili.  ikumbukwe katika albamu zake za dvd kuna nyimbo nyingine anarekodia nje ya inchi katika kubadilisha mazingila lakini pia kupata ubora wa kimataifa. cd hiyo imezinduliwa katika kanisa la kiswahili huko marekani ambalo liko chini ya mchungaji Nkone na imewekwa wakfu na mchungaji kiongozi wa kanisa hilo. Mchungaji wa kanisa la ANBC Donnis na Nnunu Nkone wakiiweka wakfu Album yake Upendo Nkonne Mchungaji Kiongozi na mke wake wakifuatilia tamasha hilo...

HIVI NDIVYO UZINDUZI WA FLORA MBASHA ULIVYOKUWA, MGENI RASMI ALIKUWA MH MBOWE

Picha
Muimbaji wa muziki wa Gospel Tanzania Flora Mbasha amefanya uazinduzi wa DVD yake pamoja na Band yake mpya siku ya J/pili katika ukumbi wa Ubungo Plaza.Uzinduzi huo uliokua na matukio mbalimbali yakiwemo Makirikiri pamoja na waimbaji kama Ambwene Mwasongwe,Joseph Nyuki,Christopher Mwahangila,Christina Matai,Neema Gasper,na Furaha Isaya. Flora Mbasha ndiye aliye fungua uzinduzi huo akiwa anasindikizwa na Makirikiri na kufatiwa na mgeni rasmi Mh Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA. Hapa nimekuwekea matukio ya picha Flora Mbasha mamaa wa vocalll!! Back vocal Coordinator Peter Hapa ni VIP (Ubungo Plaza) Flora Mbasha akimsubiri mgeni rasmi. Blogger Jimmy na Ambwene Mwasongwe khaa!! Wadau na wapenzi wa muziki wa Ambwene…katika pozi la picha Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA Freeman Mbowe. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na ...

TAMASHA LA KUCHANGIA UJENZI KKKT SEGEREA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

KAMA UNA NAFASI USIPANGE KUKOSA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Follow Adonai Media