Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya New Pope

PAPA MPYA ACHAGULIWA JUA WASIFU WAKE

Picha
Usiku Wa Jana Kwa Saa za Africa Mashariki Kanisa Katoliki imemchagua  "Cardinal Jorge Mario Bergoglio Kutoka Argentina kuwa Mrithi Wa Papa Benedict. Baada Ya Uteuzi huo Maelfu Ya Waumini Walitambulishwa Papa Mpya atakuwa akitambulika Papa Francis Wa Kwanza. Kuna Mambo Kumi Blog Inataka Kukujuza Kuhudu Papa Mpya Francis. 1. Papa Francis amechagua Jina hilo kutokana na Jina la Co-founder wa Jesuits Society. Kwa wanafatilia issue za Kanisa Katoliki Watafahamu kuwa Founder wa Jesuits ni Ignatius Of Loyola akishirikiana na Francis Xavier ambaye alikuwa Mspain. 2. Papa Francis ni Muumini wa Jesuits tangu Miaka ya 1960's amekuwa akifanya kazi na Jamii hii na kuwa Mtiifu Mpaka sasa alipoteuliwa kuwa Papa. 3. Papa Francis ana Pafu moja jambo ambalo linaweza kuleta ama kupelekea uchaguzi mwingine iwapo afya yake itazorota kama ambavyo Papa Benedict aliomba Kupumzika baada ya afya yake Kudadi Kuzorota. 4. Papa Francis ni Mwanaharakati anayepi...

Follow Adonai Media