Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Rungu la Yesu

BIRTHDAY YA YOM SI YA KUKOSA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

NAONGOZWA NA ROHO YA MARTIN BASHANDO KUZINDULIWA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

RUNGU LA YESU MWANA HIPHOP ANAYETAKA YESU AOKOE MITAA

Picha
Katika miaka ya hivi karibuni hakuna asiyejua wana hip hop na hasa Rungu la Yesu na juiya nzima ya YOM yaani Yes Okoa Mitaa. Rungu alisema kuwa shauku Yake ni kuona watu wengi wanaokoka na kumfuata Yesu, aliasema kama Dar ina wakazi kama Mil 5 sasa inashindikana vipi kuwa na makanisa makubwa ya watu 10,000 au 15,000 alisema kwa sasa watu waliokoka na kunena kwa lugha ni wachache hivyo ipo Kazi ya kuhubiri injili, maneno hayo aliyasema alipokuwa anafanya huduma ya uimbaji katika kanisa la Assaph ministries International lililopo Buguruni Rozana The blogger nikiwa na Rungu la Yesu Rungu akichana mistari washirika wakienda sana na rungu la Yesu

Follow Adonai Media