Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya John Lisu Live Recoding

TAMASHA KUBWA MWANZA KESHO,MALOPE NDANI YA NYUMBA WANA MWANZA TUKUTANE CCM KIRUMBA

Lile tamasha kubwa la pasaka linaloandaliwa na Msama promotion linalokwenda kwa jina la tamasha la pasaka kufanyika kesho jijini Mwanza. Katika tamasha hilo malkia wa nyimbo za Injili Africa yaani Rebecca Malope kutoka A Kusini atakuwepo, aidha waimbaji mbalimbali wa hapa nchini watakuwepo akiwapo malkia wa Injili TZ Rose Mhando John lishu na wengine wengi. Wewe mkazi wa Mwanza tafadhali usikose

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA LIVE RECORDING YA JOHN LISU

Picha
Ubora wa mandhari wa Live Recording pamoja na Itifaki ya Mtiririko wa waimbaji ndio uliosahaulisha machungu ya Maelfu ya Wakazi wa Jiji la Dar-es-Salaam, Morogoro, Pwani , Zanzibar na nchi jirani Kenya waliochelewa kuingia ndani ya ukumbi wa CCC Upanga kufuatia utaratibu mpya wa usalama wakati wa kuingia kwenye Live Recording ya “Uko Hapa” ya Mwanamuziki John Lisu. Siku ya Jana katika Ukumbi wa CCC Upanga Mwanamuziki wa Injili John Leonard Lisu ameandika historia kwa mara nyingine kwa kurekodi albam ya pili ya DVD katika Ukumbi huo. Kabla ya John Lisu kupanda na Kuanza kurekodi watumishi wengine wa utangulizi walianza kazi ya kusafisha njia hiyo. Wanamuziki waliohudumu ni pamoja na Mbomby Johnson, Neema Gospel Kwaya, Pastor Paul Safari, Paul Clement na Abedinego Hango. John Lisu alipanda round ya kwanza na kurekodi nyimbo 12 mfululizo ambapo katika nyimbo hizo 12 amemshirikisha mwanamuziki maarufu wa Kenya Timothy Kaberia, pia amemshirikisha Mwanamuziki ...

Follow Adonai Media