Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Sony Music

UJIO WA WIMBO MPYA WA ROSE MHANDO, JIWE CHINI YA SONY MUSIC

Picha
Msanii maarufu namba moja wa Africa Mashariki wa nyimbo za injili amefyatua   kibao cha pili kingine kilichotengenezwa katika studio za Sony Music Africa, ambapo kibao cha kwanza kiliitwa Wololo kilichobeba albam ya Yesu Kung’uta chini ya usimamizi wa Rock star 4000 na kupatikana rasmi kupitia kampuni ya Mkito.com   Wimbo wa jiwe umetengenezwa na kuchezwa na Rose Muhando ambapo kupangiliwa na kuzalishwa na Yusuph Mayige katika Studio ya Sony Music Afrika na kuendelezwa na   kuongezewa vionjo na   Rockstar 4000.   " Rose Muhando asema wimbo huu unatambulisha kuwa  naniataendelea kuitawala hii  dunia na kila kilichomo  ndani yake, katika dunia hii  ya sasa , tunapoteza uaminifu  nakumsahau Mungu katika  kutawala kila kitu. Ni miminatakiwa kuweka muda  wa kumkumbuka na kumsifuyeye  kwa nj...

Follow Adonai Media