Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya TAG Magomeni

HIVI NDIVYO UZINDUZI WA DVD YA MCH MARRY KANEMBA ULIVYOKUWA KATIKA PICHA.

Picha
Siku ya jana kulikuwa na uzinduzi wa dvd ya Mch Marry Kanemba sambamba na uzinduzi huo pia kulikwa na uchangiaji wa ujenzi wa chuo cha mziki wa injili kitakachojengwa kwa gharama ya shi 250 milioni. maneno ya Mch Kiongozi Dunstan Kanemba >>>>> NI KWA NEEMA YA BWANA YESU. UZINDUZI ULIFANIKWA MBINGU ILIKUWA PAMOJA NASI. TUMEMUONA BWANA. Asante kwa wote waliotushika mkono. Jengo lenu la Kanisa halikutosha kubeba watu waliohudhulia tamasha la Mch Mary Kanemba. Kulikuwa na kwaya 80 na zaidi, waimbaji binafsi 60 na zaidi, wachungaji, wawakilishi wa makanisa na viongozi (maaskofu) 40 na zaidi. UWEPO WA JEHOVA ULITUFUNIKA KWA UTUKUFU WA JINA LA YESU KRISTO. Katasha hilo lililokuwa na waimbaji wengi na mahudhulio makubwa ya idadi ya watu baadhi ya waimbaji waliokuwepo ni Christ boys walikuwepo, Jenifa na Bahati Bukuku walikuwepo, Kiza blessing alikuwepo, Nayothi prophetic singers walikuwepo, Victory singers walikuwepo, Boko basihaya walikuwepo, Living water kawe wa...

Follow Adonai Media