Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Upendo Kilahiro

KARIBU UTAZAME VIDEO TEASER YA WIMBO MPYA WA UPENDO KILAHIRO

Picha
Kwa mara ya kwanza tazama teaser ya wimbo mpya wa Upendo Kilahiro (FICHO LANGU) akiwa ameufanya nchini Marekani  chini ya Kampuni ya Kingdom Entertainment. Official music video world premiere inakujia kwa hisani kubwa ya Chomoza ya Clouds TV show,Kingdom Entertainment,na Kiango Media       KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

TAMSHA LA PASAKA MWANZA. ZIKIWEMO NA PICHA ZA REBECCA MALOPE AKIIMBA.

Picha
Hatimae tamasha la pasaka limefanyika kule Mwanza na huku malkia wa gospel Africa Rebecca Malope akikoga nyoyo za wakazi wa Mwanza, tamasha hilo liliandaliwa na msama promotion na huwa linafanyika kila mwaka msimu wa pasaka.  Rebecca Malope kutoka Afrika kusini akifanya kweli kwenye Tamsha la Pasaka Mwanza.    Rebecca Malope akifanya kweli    Mh William Ngereja akiwa amenyanyua albam mbili za muimbaji Grace Mwikwabe baada ya kuzizindua,kulia ni Alex Msama mkurugenzi wa Msama Promotion.  Kushoto ni HK 1 Hadson Kamoga,Alex Msama,John Lisu,The voice,na Mess Jacob.  Upendo Kirahilo kama kawa akifanya kweli mdau wangu.  Mama wa Lisema...Sara K kutoka Kenya akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki.   Picha zote na Full Shangwe... KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembele...

TAMASHA KUBWA MWANZA KESHO,MALOPE NDANI YA NYUMBA WANA MWANZA TUKUTANE CCM KIRUMBA

Lile tamasha kubwa la pasaka linaloandaliwa na Msama promotion linalokwenda kwa jina la tamasha la pasaka kufanyika kesho jijini Mwanza. Katika tamasha hilo malkia wa nyimbo za Injili Africa yaani Rebecca Malope kutoka A Kusini atakuwepo, aidha waimbaji mbalimbali wa hapa nchini watakuwepo akiwapo malkia wa Injili TZ Rose Mhando John lishu na wengine wengi. Wewe mkazi wa Mwanza tafadhali usikose

JESCER MICHAEL NI CHIPUKIZI WA NYIMBO ZA INJILI, MWENYE KIPAJI CHA KUTUNGA NA KUIMBA, MALENGO YAKE NI KUUFIKIA ULIMWENGU KWA UIMBAJI.

Picha
Mkoa wa Dodoma ni kati ya mikoa ambayo kuna waimbaji maarufu wa injili hapa Tanzania vile vile iko mikoa kama Mbeya, Kigoma, Arusha, Dar na kwingineko. ukitaja jina kama Rose Mhando ni jina linalojulikana sana na ni malkia wa nyimbo za injili hapa Tanzania na hata kuweza kuweka mkataba na kampuni kubwa la mziki hapa Africa.  lakini katika mkoa huu wa Dodoma kuna waimbaji wengi sana ni under Ground na wengine ndo wana chipukia. Blog hii ilipata nafasi ya kuonana na baadhi ya waimbaji hao mjini Dodoma na kufanya nao mahojiano kujua machache katika huduma zao. kama mnavyojua na ni ukweli usio pingika kuwa kwa sasa mziki wa injili Tanzania umeshika hatamu kuliko miziki wowote. na hii ni kutokana na umahili na kazi nzuri zinazofanywa na watu wote katika muziki huu wa Gospel hii ni pamoja na waimbaji, wapigaji ala za muziki, maproduza wa audio na Video pamoja na wasambaji wa kazi hizi wamekuwa na mchango mkubwa, hii imeleta kutokea kwa uamusho na kuwa na waimbaji wengi wanaochipu...

TAMASHA LA PASAKA HIVI NDIVYO KEKE ALIVYOTOKELEZEA

Picha
Tamasha la Muziki wa Injili la Pasaka limefanyika  katika Mkoa wa Dar-es-Salaam na maelfu ya Watanzania walijitokeza  kushuhudia wanamuziki wa Injili kutoka nchi mbalimbali kama Tanzania, Kenya, UK, Zambia na Afrika Ya Kusini.   Tamasha la Pasaka ambalo huandaliwa na Msama Promotion hufanyika kila wakati wa Pasaka na Christmas hapa nchini ili kutoa fursa kwa Wakristo kutoka madhehebu mbalimbali.kuweza kukusanyika kwa pamoja na kumtukuza Mungu wao. Katika Siku ya jana Mgeni rasmi wa Tamasha hilo alikuwa Mhe. Bernard Membe aliyemwakilisha Rais Jakaya Kikwete ambaye kwa sasa yupo nje Kikazi.   Baadhi ya Wanamuizi wa injili waliohudumu ni Upendo Nkone, Upendo Kilahiro, Sara K kutoka Kenya, Glorious Worship Team, John Lisu, Mwanamuziki kutoka UK na Keke Kutoka South Africa. Malkia wa Muziki wa injili Rose Muhando alipanda Jukwaani Saa 2 Usiku ili kuwahudumia watu. Mhe. Benard Membe akisikiliza risala kutoka kwa Mchungaji Mwasota ambaye ni Mwenyeki...

PICHA ZA LIVE RECORDING YA UPENDO KILAHIRO KATIKA KANISA LA VCC MBEZI

Picha
Tamasha Live Recording la Mwanamuziki wa Kimataifa Upendo Kilahiro lilifanyika katika Kanisa la VCCT Mbezi Kawe limefanyika kwa mafanikio Makubwa. Mwanamuzi Upendo Kilahiro pamoja na Mume wake Amon Kilahiro waliwaongoza maelfu ya Wakazi wa Jiji la Dar-es-Salaam katika Ibada ya Kumwabudu Mungu jioni ya Leo. Katika Live Recording hiyo ilisindikizwa na Waimbaji kadha wa kadha wakiwemo Addo November, Glory Kilahiro na The Voice. Mamia ya wakazi wa jiji la Dar-es-Salaam waliojitokeza katika Live Recording hiyo walionekana wakimwabudu Mungu Muda wote wa Ibada hiyo ya Kuabudu. Ma Mc wa Event Pastor Mwita pamoja na Double G, Godwin Gondwe wakienda sawa  Mpiga Saxerphone Maarufu Mise Anaeli akienda sawa katika Live Recording ya Upendo Kilahiro  Lights Camera na Lights Kwake Anaeli Mise  Kikazi Zaidi Mise Anaeli  Mise Anaeli akikamua tarumbets  Sehemu ya Watu  Mise akienda sawa na Upendi Kilahiro Sehemu Ya Umati Addo...

Follow Adonai Media