Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Kuwa makini na Biblia fake

BAADA YA NDOA ZAO KUHALALISHWA ULAYA MASHOGA WATATOA BIBLIA ZAO HIVI KARIBUNI ZINAZOHALALISHA MAOVU WANAYOYAFANYA

Picha
Biblia ya Mashoga inatarajia kuitoka hivi karibuni, makampuni ya mashoga huko marekani na Mexico yako kwenye hatua za kukamilisha biblia hizo.  huku ikiwa imepotoshwa na kuwekwa vifungu ambavyo vinakidhisha matakwa yao, habari hizo ambazo zimenikwa mtandaoni zinaonyesha hayo makampuni na juhudi wanazofanya ili kukamilisha kwa biblia hizo.   kampuni ya kwanza inayotengeneza biblia mojawapo imefanya hivi :- zimeonyesha hapa ile picha tuliyozoea kuiona ya Adam na Eva wakiwa bustani ya edeni wao wamechora wanaume wawili wakiwa katika bustani ya eden. Na kuna sehemu nyingi wamebadilisha majina, sehemu ya Adamu na Eva wao wameandika Adam and Steve, Samson na Delila wameweka Samantha na Delila. Biblia mpya ya mashoga itakuwa sokoni wiki chache zijazo, Venom kutoka vikundi cha uifadhi wa kikristo amechukua hatua ya kulitangaza hili kuwatahadharisha watu juu ya hili. Mambo haya yanakuja siku chache baada viongozi wakubwa wa mataifa makubwa kuruhusu ndoa za mashoga, Picha in...

KUWA MAKINI NA BIBLIA FEKI ZILIZOINGIA MTAANI

Picha
Biblia hizo kwa nje hazina tofauti na biblia tulizozoea kuziona Biblia ambazo zimechakachuliwa zimezagaa katika nchi yetu ya Tanzania ambazo vitabu vya Daniel, Habakuki na Wafilipi vimeandikwa ndivyo sivyo. Haya yameelezwa na mkurugenzi wa idara ya uanafunzi na maandiko wa kanisa la  TAG Mch Gilbart. Amewataka wakristo kuwa makini na biblia ambazo inasemekana zinaandikwa na wapagani ili kutimiza mkakati wao wa kuelekea kwenye dini na serikali moja Duniani. Alibainisha kuwa kumekuwepo na baadhi ya wapagani hapa nchini ambao huchapisha Biblia zao wenyewe kwa lugha ya kiswahili huku wakichukuwa mfano wa Biblia halisi zilizopo na kubadili baadhi ya vifungu kwa lengo wanalolijua wao la kupotosha ukweli!. Aliendelea kubainisha huku akiwa na Biblia mojawapo alisema mfano kitabu cha habakuki 2:15 kinasema Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako na kumlevya   pia . Wao wameandika hivi ole wake mtu atiaye sumu kwenye pombe ya jirani yake . Hii wanafanya hivi...

Follow Adonai Media