Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Kiango Media

FUATILIA MAHOJIANO YA GAZUKO NA KIANGO ON LINE RADIO NA MTANGAZAJI FREAD MSUNGU, CHIEF DADY

Picha
Fuatilia mahojiano ya mwimbaji wa nyimbo Gospel Flavor Gazuko yaliyofanywa na mtangazaji wa kipingi cha havy weight, Fread Msungu ndani ya studio bora kabisa za kiango on line radio,                         KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

WAISLAMU WAJITOKEZA KATIKA USAILI WA KUTAFUTA WATANGAZAJI KWENYE KITUO CHA RADIO YA KIKRISTO

Picha
Jumamosi iliyopita ulifanyika Kiango Presenters Search, katika hotel ya tamal Mwenge, blog hii ilikuwa pale kufuatilia kila kinachoendelea. washiriki walio jiandikisha walikuwa karibu 30 na kati ya hao wakuwapo waislamu 7 ambao majina yao si vizuri kuyaweka hapa hadhalani na kati ya maswali waliyoulizwa waliulizwa kuwa wanafahamu radio ni ya kikristo na wao walikiri kwa wanafahamu ila wanatamani wapewe nafasi ya kufanya kazi na kiango radio. Lakini kubwa zaidi pale mshiriki mmoja mkristo alipoamua kumpa Yesumaisha yake aliulizwa swali na chief Dad Fred Msungu kama ameokoka akajibu hajaokoka akaulizwa utaokoka lini akasema hata sasa naweza kuokoka. hiyo ilisisimua sana na aliongozwa sara ya toba na kumpokea Bwana Yesu kati ya washiriki wote waliohudhulia wanatakiwa kupatikana watu wawili ambao majina yatatangazwa muda si murefu. Kituo cha radio cha Kiango kitaanza matangazo ya live muda si mrefu na kitakuwa kinatangazia kutoka kijitonyama kwani studio ya kisasa imesha kamilika. ...

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWENYE KUTAFUTA WATANGAZAJI WATAKAO JIUNGA NA KIANGO RADIO

Picha
  Judge BelindaBebe akiwa ana refresh kabla kazi kuanza                                                       BelindaBebe akiwa ana register washiriki Baadhi ya wadau waliojitokeza kwa ajili ya Usaili washiriki wakiwa wanabadilishana mawazo                            Ze Director Moses Godwin akiwa anafanya registration kwa washiriki                                         ...

KIANGO RADIO KUANZA KAZI RASMI WANATAKIWA WATANGAZAJI JISAJIRI UKASHIRIKI NA UCHAGULIWE

Picha
Kiango Radio ni Radio Ya Gospel inayotarajia kuanza kazi siku chache Zijazo. Kiango Radio inatafuta Radio Presenters wa Kujitolea. Usaili kwa ajili ya Presenters utafanyika Siku ya Jumamosi katika Hotel Ya Tamal iliyoko Mwenge Jijini Dar-es-Salaam kuanzia saa 3 kamili asubuhi. Kama unataka shiriki zoezi hili thibitisha kwa nambari za Simu Zilizo katika hili tangazo hili. Andika.....KPS (Kiango Presenter Search) acha nafasi Andika Jina lako kamili Maana tutaita watu kwa majina yao. Kwa maelezo zaidi piga simu kwa namba hizo. Source Samuel Sasali Http:www//kiangonlineradio.com   KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

HII SI YA KUKOSA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Follow Adonai Media