Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Tanzania Assemblies of God

UZINDUZI WA BWENI JIPYA LA WANAUME KATIKA CHUO CHA TAG DODOMA.

Picha
Idara ya Elimu ya kanisa la Tanzania Assemblies of God linatekeleza mpango wa maboresho wa vyuo vyake vya Biblia nchi nzima. Mwezi Januari Mwaka 2016, jengo jipya lenye uwezo wa kuchukua wanafunzi wanaume zaidi ya 200 katika chuo cha Biblia cha Central Bible College (CBC) Dodoma lilizinduliwa katika hafla iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God Rev. Dr. Barnabas Mtokambali. Mradi huu umefadhiliwa kwa ubia baina ya "Priority One"kutoka Marekani na Idara ya Elimu ya TAG. Akizungumza katika uzinduzi huo, Mgeni Rasmi Dr. Sam Johnson kutoka Marekani ambaye pia ndiye mfadhili mkuu wa mradi huo alisema mradi huo ni utekelezaji wa Agizo Kuu la Bwana Yesu la kuwafanya mataifa yote kuwa wanafunzi wa Yesu. Dr. Johnson alisema chuo cha CBC kitawavutia watumishi wengi kuja kunolewa na kupata elimu ya theolojia ili waje kuwa watumishi wazuri zaidi, kwa kupata Stashahada, Shahada, na Shahada za Uzamili na Uzamivu. Aliongeza kwamba anaamini kwamba CBC itakuwa kitovu cha...

BIRTHDAY YA YOM SI YA KUKOSA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

SHEREHE ZA MIAKA 75 YA TAG ZA FANA, RAIS KIKWETE APEWA TUZO, ILIKUWA LIVE KWENYE TV 2

Picha
Jana ndiyo ilikuwa kilele cha maazimisho ya jubilee ya miaka 75 ya kanisa la TAG, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika uwanja wa kumbukumbu ya sokoine jijini Mbeya, shamla shamla za matukio mbalimbali yalipamba maadhimisho hayo na kuwa ya kihistoria kuwahi kutokea katika kanisa hilo. Mgeni rasm katika sherehe hizo alikuwa Rais wa jamhuri ya muungno wa Tanzania mh J. Kikwete. ukiacha wachungaji kutoka sehemu mbalimbali hapa mchini pia kulikuwepo na wageni kutoka nje ya nchi na wananchi kutoka kila sehemu ya Tanzania. hapo chini ni baadhi ya picha za tukio hilo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi kwenye kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014. (picha zote, melezo: Ikulu) Rais Kikwete akizindua kitabu cha TAG akiwa na Askofu Mkuu wa TAG, Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 75 ya kanisa hilo katika uwanja wa K...

Follow Adonai Media