Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya SARAH K

TAMSHA LA PASAKA MWANZA. ZIKIWEMO NA PICHA ZA REBECCA MALOPE AKIIMBA.

Picha
Hatimae tamasha la pasaka limefanyika kule Mwanza na huku malkia wa gospel Africa Rebecca Malope akikoga nyoyo za wakazi wa Mwanza, tamasha hilo liliandaliwa na msama promotion na huwa linafanyika kila mwaka msimu wa pasaka.  Rebecca Malope kutoka Afrika kusini akifanya kweli kwenye Tamsha la Pasaka Mwanza.    Rebecca Malope akifanya kweli    Mh William Ngereja akiwa amenyanyua albam mbili za muimbaji Grace Mwikwabe baada ya kuzizindua,kulia ni Alex Msama mkurugenzi wa Msama Promotion.  Kushoto ni HK 1 Hadson Kamoga,Alex Msama,John Lisu,The voice,na Mess Jacob.  Upendo Kirahilo kama kawa akifanya kweli mdau wangu.  Mama wa Lisema...Sara K kutoka Kenya akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki.   Picha zote na Full Shangwe... KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembele...

TAMASHA LA PASAKA HIVI NDIVYO KEKE ALIVYOTOKELEZEA

Picha
Tamasha la Muziki wa Injili la Pasaka limefanyika  katika Mkoa wa Dar-es-Salaam na maelfu ya Watanzania walijitokeza  kushuhudia wanamuziki wa Injili kutoka nchi mbalimbali kama Tanzania, Kenya, UK, Zambia na Afrika Ya Kusini.   Tamasha la Pasaka ambalo huandaliwa na Msama Promotion hufanyika kila wakati wa Pasaka na Christmas hapa nchini ili kutoa fursa kwa Wakristo kutoka madhehebu mbalimbali.kuweza kukusanyika kwa pamoja na kumtukuza Mungu wao. Katika Siku ya jana Mgeni rasmi wa Tamasha hilo alikuwa Mhe. Bernard Membe aliyemwakilisha Rais Jakaya Kikwete ambaye kwa sasa yupo nje Kikazi.   Baadhi ya Wanamuizi wa injili waliohudumu ni Upendo Nkone, Upendo Kilahiro, Sara K kutoka Kenya, Glorious Worship Team, John Lisu, Mwanamuziki kutoka UK na Keke Kutoka South Africa. Malkia wa Muziki wa injili Rose Muhando alipanda Jukwaani Saa 2 Usiku ili kuwahudumia watu. Mhe. Benard Membe akisikiliza risala kutoka kwa Mchungaji Mwasota ambaye ni Mwenyeki...

Follow Adonai Media