Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Alex Joseck Kingdom Media

KARIBU UTAZAME VIDEO TEASER YA WIMBO MPYA WA UPENDO KILAHIRO

Picha
Kwa mara ya kwanza tazama teaser ya wimbo mpya wa Upendo Kilahiro (FICHO LANGU) akiwa ameufanya nchini Marekani  chini ya Kampuni ya Kingdom Entertainment. Official music video world premiere inakujia kwa hisani kubwa ya Chomoza ya Clouds TV show,Kingdom Entertainment,na Kiango Media       KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

ANGALIA WIMBO DAMU YA YESU WA LILIAN MARIKI

Picha
Wimbo kutoka Kingdom entertainment            KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

MSHIRIKI WA HEAVEN TALENT FLAVOR SEARCH BENJAMINI KISUMO YUKO KARIBU KUPAKUWA ALBAMU YAKE SIKIA WIMBO MMOJA HAPA

Picha
Mshiriki wa heaven talent flavor search iliyokuwa ikirushwa kwenye kituo cha tv TBC1 Benjamini Kisumo, huko mbioni kupakuwa albamu yake hivi karibuni, akizungumza na blog hii alisema albamu hiyo inapikwa na producer mahiri mkoani Dodoma Sam Richard, kwa sasa tuko kwenye touch za mwisho kabisa kwa baadhi ya nyimbo. Itakuwa tayari hivi karibuni na kila kitu kimefanya na Sam na ninamshukuru producer wangu kwa kuweza kushirikiana nami kufanikisha kazi hii kubwa alisema Benja. Albamu hiyo ina nyimbo 8 na itakwenda kwa jina la Nimesikia habari zako. Benja akiwa na Producer Sam na Elia Producer Sam Richard akiwa kazini Kuingiza Vocal  Kila kitu kinawekwa sawa.  Unaweza kusikiliza wimbo mmoja hapa. Blog hi inamtakia mafanikio mema katika kukamilisha kazi yake na Bwana ambariki. KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu ...

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA NEEMA NG'ASHA WAENDELEA USIKOSE TAMASHA HILI

Picha
Maandalizi ya uzinduzi wa albamu mpya ya mwimbaji Neema Ng'asha yanaendelea huku siku zikiisha kuikaribia siku hiyo.Albam hiyo inayokwenda kwa jina tunaye Bwana itazinduliwa tar 14/12/2014uzinduzi huo umedhaminiwa na come &see promoters. tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyozipata kutoka kwa mhusika Neema. Blog hii inamtakia maandalizi mema ktk kuelekea siku ya uzinduzi KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

TAMASHA KUBWA LA COLUMBUS INTERNATIONAL GOSPEL MUSIC FESTIVAL NI LEO NA KESHO

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

GAZUKO KUIWAKILISHA TANZANIA KATIKA TUZO ZA AGMA, SHUSHO KAMA KAWAIDA NAE YUMO

Picha
 Mwimbaji wa nyimbo za Gospel hip hap anayekuja kwa kasi hapa Tanzania, Gazuko amekuwa kati ya waimbaji kutoka sehemu mbalimbali kugombea tuzo ya mwanamziki bora katika Rap. Africa Gospel Music Awards ambao hutoa tuzo hizo kila mwaka, wametoka orodha ya waimbaji walioingia katika kinyanganyilo hicho. Gazuko ambaye sasa anatamba na kibao chake Acha kulia kilichorekodiwa na Kingdom Media ya Marekani. Big up kwao kingdom media kwa kuibua kipaji hiki mpaka kimataifa. mwimbaji mkongwe hapa nchini Shusho nae yumo katika kuwakilisha vilivyo nchi yetu Shusho ambaye si mara yake ya kwanza amekuwa akishiriki sana katika medali hii ya tuzo za kimataifa kila la heri na tuwapigie kura waimbaji wetu katika tuzo hizo.  Ikumbukwe kuwa mwaka jana katika tuzo hizi walioshiriki alikuwa Shusho na M. Mwaipaja, mwaka huu amekuwa Shusho na Gazuko mwa YOM tunatakiwa kuwapigia kura ili waweze kutwaa tuzo hizo ili kupiga kura fuata link hii  http://www.africagospelawards.com/ na utabony...

HUYU MWANAUME DUUUUH HEBU MWANGALIE MWENYEWE( CHRISTIAN CLIP)

Picha
Tabia ya Matilda yabadilika ghafla ndani ya ndoa, mumewe John anachanganyikiwa nusura aikimbie nyumba. Matilda alipoulizwa, jibu lake liliipindua ndoa nzima. Angalia ujue ni siri gani Matilda aliyoilipua. Baada ya mfumo wake wa ndoa kwenda kusikoeleweka, kwa hofu nyingi na ghadhabu, John anaamua kwenda na mke wake Matilda katika Ofisi ya Ushahuri wa ndoa, katikati ya maongezi Matilda anafungua siri kubwa iliyopindua ndoa nzima ya John, na kumfanya ajione ni mjinga sana, huku Mshahuri akibakia Mdomo wazi... Ni siri gani hiyo?, Fuatilia kisa hiki katika filamu fupi hii ya kikirsto, itakayokufanya umfikirie Mungu kwa upya katika ndoa yako.   https://www.youtube.com/watch?v=aqeUQMJ2rCM&feature=youtu.be&a  KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

WIMBO WA ROHO SHUKA WA MIRIAM LUKINDO ULIOTENGENEZWA NA KINGDOM MEDIA HUU HAPA. ANGALIA

Picha
Ule wimbo wa Mirium Lukindo wa Mauki uliokuwa unasubiriwa kwa hamu ambao video yake imetengenezwa na kampuni kutoka marekani ijulikanayo kwa jina la kingdom media sasa umeshatoka unaweza kuuona hapa, wimbo huo unaokwenda kwa jina la Roho shuka ambayo ni wa kuabudu. KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, what up 0784477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Follow Adonai Media