Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Joyous Celebretion

WANAMUZIKI MBALIMBALI KUTOKA AFRICA WAIMBA WIMBO WA EBOLA, WAMO JOYOUS CELEBRATION, TANZANIA YAWAKILISHWA NA DIAMOND

Picha
mwimbaji wa muziki wa nje ya injili nchi Tanzania Nasibu Abdul, almaarufu kwa jina la Diamond Platnumz, ni mmoja kati ya waimbaji wengine wengi wa Afrika, walioshiriki pamoja na kundi maarufu kwa nyimbo za injili nchini Afrika kusini Joyous Celebration, kurekodi wimbo wa pamoja kupiga vita gonjwa la EBOLA, wimbo huo ambao ni wazo na utunzi wa Joyous Celebration kazi ya kurekodi video ya wimbo huo, imefanyika katika shirika la utangazaji la SABC, nchini Afrika kusini, huku umoja huo wa wasanii walioimba wakitumia jina la wimbo maarufu la wimbo ulioimbwa na waiimbaji nyota nchini marekani wa kusaidia bara la Afrika "WE 'RE THE WORLD" ila wao wakiongezea Afrika mbele yake. ukiacha kundi la Joyous pia kulikuwa na kundi la waimbaji wengine toka Afrika kusini kama Mahottella Queens, Mafikizolo, pamoja na waimbaji wengine tokea Nigeria na pande nyingine za Afrika. Tanzania ikiwa imewakilishwa na mwimbaji huyo ambaye amejinyakulia Tuzo tatu, kati ya nne, a...

Follow Adonai Media