MWIMBAJI WA INJILI HELLEN CHIWANGA KUTOKA DODOMA YUKO KWENYE MAANDALIZI YA KUTOA ALBAMU YAKE YA PILI CHINI YA JOHN MTANGO
Mwimbaji wa nyimbo za injili Hellen Chiwanga wa Dodoma ambaye alisha wahi kutoa albamu yake kipindi cha nyuma na uzinduzi wake kuwa gumzo katika mji wa Dodoma na viunga vyake kwa kuwajaza vingunge wa bunge la Tanzania katika uziduzi huo cd iliyokwenda kwa jina la NIKULINGANISHE NA NINI. sasa anakuja na albamu yake mpya ambayo inaendelea kurekodiwa chini ya producer nguli wa nyimbo za injili hapa Tanzania tunamzungumzia John Mtango mtoto wa mchngaji aliye muibua Beatrice Mhone katika ile albamu ya ingoje ahadi akiwa na Upendo Kilahiro. soma mwenyewe alivyo andika katika ukrasa wake wa fb. Dear friends, baada ya kupotea kwa muda mrefu katika tasnia ya uimbaji,nimeamua kurudi na kuanza kumtumikia Mungu wangu kwa njia ya uimbaji..nipo katika hatua za mwisho za kukamilisha audio CD ambayo itafuatia na DVD,soon itakuwa hewani..This is my second Album..Nimewashirikisha waimbaji mahiri sana ambao wamefanya kazi nzuri sana kwa utukufu wa Mungu..Album inasimamiwa na mtumishi wa Mungu ...