Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya KWETU PA ZURI

BAADA YA KUTOKUREKODI MATOLEO MAWILI YALIYOPITA SOLOLISTI WA KWETU PAZURI AJA KIVINGINE

Picha
Yvonne Umulisa wa Ambassadors of Christ ya Rwanda MWIMBAJI maarufu wa kwaya ya Ambassadors of Christ ya Kanisa la Waadventista wa Sabato la mjini Kigali, Rwanda, Yvonne Umulisa, ameibuka tena katika albamu mpya ya kwaya hiyo baada ya kukosekana katika matoleo matatu mfululizo. Umulisa ambaye alitamba na wimbo wa Kwetu Pazuri akiwa mwimbaji mwanzilishi na kujipatia umaarufu mkubwa, aliondoka katika kwaya hiyo kwa muda baada ya kufunga ndoa miezi michache baada ya kunusurika katika ajali ya gari. Baada ya kukosekana katika albamu tatu za kwaya hiyo, hatimaye ameibuka tena katika albamu mpya namba 8 iitwayo Kaeni Macho. Katika albamu hiyo, Umulisa anatamba na wimbo Twawona Okuswala (Tumeepushwa Aibu), wimbo huo umeimbwa kwa lugha ya Kiganda. Katika wimbo huo un...

Follow Adonai Media