Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya JESSICA HONORE. VUNJA UKIMYA

TAMASHA KUBWA MWANZA KESHO,MALOPE NDANI YA NYUMBA WANA MWANZA TUKUTANE CCM KIRUMBA

Lile tamasha kubwa la pasaka linaloandaliwa na Msama promotion linalokwenda kwa jina la tamasha la pasaka kufanyika kesho jijini Mwanza. Katika tamasha hilo malkia wa nyimbo za Injili Africa yaani Rebecca Malope kutoka A Kusini atakuwepo, aidha waimbaji mbalimbali wa hapa nchini watakuwepo akiwapo malkia wa Injili TZ Rose Mhando John lishu na wengine wengi. Wewe mkazi wa Mwanza tafadhali usikose

HATIMAYE VIDEO YA WIMBO NIMEZIMA UKIMYA WA JESSCA WAKAMILIKA NI KUTOKA KINGDOM MEDIA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

VUNJA UKINYA NA JESSICA HONORE

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Follow Adonai Media