Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Msama promotions

UZINDUZI WA ROSE MHANDO GUSA PINDO LA YESU ULILIKUWA HIVI

Picha
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akikata utepe wakati akizindua rasmi albam ya Rose Muhando mwimbaji wa muziki wa injili inayoitwa Shikilia Pindo la Yesu katika onesho kubwa la uzinduzi lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo likihudhuriwa na maelefu ya washabiki wa muziki wa injili, ambapo waimbaji mbalimbali wameshiriki katika uzindzi huo wakiwemo Ephraim Sekereti Kutoka Zambia, Sara K. kutoka Kenya , Upendo Kilahiro, Upendo Nkone John Lisu na wengine wengi, Katika uzinduzi huo pia maaskofu na wachungaji kutoka makanisa mbalimbali wamehudhuria, Katika anayeshirikiana na Mh. Ffredrick Sumaye ni Alex Msama Mkurugenzi wa ampuni ya Msana Promotion iliyoandaa uzinduzi huo na kushoto ni Mwimbaji Rose Muhando mwenyewe. Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akionyesha Juu albam ya Shikilia Pindo la Yesu ya Rose Muhando mara baada ya kuizindua rasmi kulia ni Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion. Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredri...

MALKIA WA MUZIKI WA INJILI KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA SHIKILIA PINDO LA YESU

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

TAMSHA LA PASAKA MWANZA. ZIKIWEMO NA PICHA ZA REBECCA MALOPE AKIIMBA.

Picha
Hatimae tamasha la pasaka limefanyika kule Mwanza na huku malkia wa gospel Africa Rebecca Malope akikoga nyoyo za wakazi wa Mwanza, tamasha hilo liliandaliwa na msama promotion na huwa linafanyika kila mwaka msimu wa pasaka.  Rebecca Malope kutoka Afrika kusini akifanya kweli kwenye Tamsha la Pasaka Mwanza.    Rebecca Malope akifanya kweli    Mh William Ngereja akiwa amenyanyua albam mbili za muimbaji Grace Mwikwabe baada ya kuzizindua,kulia ni Alex Msama mkurugenzi wa Msama Promotion.  Kushoto ni HK 1 Hadson Kamoga,Alex Msama,John Lisu,The voice,na Mess Jacob.  Upendo Kirahilo kama kawa akifanya kweli mdau wangu.  Mama wa Lisema...Sara K kutoka Kenya akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki.   Picha zote na Full Shangwe... KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembele...

TAMASHA KUBWA MWANZA KESHO,MALOPE NDANI YA NYUMBA WANA MWANZA TUKUTANE CCM KIRUMBA

Lile tamasha kubwa la pasaka linaloandaliwa na Msama promotion linalokwenda kwa jina la tamasha la pasaka kufanyika kesho jijini Mwanza. Katika tamasha hilo malkia wa nyimbo za Injili Africa yaani Rebecca Malope kutoka A Kusini atakuwepo, aidha waimbaji mbalimbali wa hapa nchini watakuwepo akiwapo malkia wa Injili TZ Rose Mhando John lishu na wengine wengi. Wewe mkazi wa Mwanza tafadhali usikose

MASHABIKI WAMHITAJI MALOPE TAMASHA LA PASAKA 2014

Picha
  JINA la Rebecca Malope si geni masikioni na machoni mwa wengi, hasa kwa wapenzi, mashabiki na wadau wa muziki wa Injili. Rebecca aliyezaliwa mwaka 1968, yu miongoni mwa waimbaji wa kimataifa wa muziki wa Injili kutoka nchini Afrika Kusini, aliyewahi kuja nchini mara moja kwa mwaliko wa Kampuni ya Msama Promotions kupamba Tamasha la Pasaka. Kupitia tamasha hilo ambalo lilifanyika jijini Dar es Salaam Aprili 8, Rebecca akishirikiana na wengine mahiri wa ndani na nje ya Tanzania , walikuwa baraka katika tamasha hilo lililofanyika mara ya kwanza Uwanja wa Taifa mbele ya mgeni rasmi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Umahiri wa Rebecca katika uimbaji na uchangamfu jukwaani, umewafanya wadau wengi watamani awe miongoni mwa waimbaji katika Tamasha la Pasaka la mwaka huu Aprili 20, jijini Dar es Salaam kabla ya kuhamia katika mikoa itakayopata kura nyingi za wadau. Shauku ya kumtaka...

Follow Adonai Media