Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya UPENDO NKONE

OMBA YESU ANASIKIA YAZINDULIWA NCHINI MAREKANI NI ALBAMU YA TANO YA PENDO NKONE.

Picha
kwa mara ya kwanza Mwanamuziki wa nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania,Upendo Nkonne jumapili hii ameweka wakfu na kuzindua Album yake mpya ya tano inayokwenda kwa jina la ""Omba Yesu Anasikia " toka atoe album zingine za awali, uzinduzi ambao umefanyika nchini Marekani ndani ya kanisa la All Nations BreakThrough Church (ANBC) - Gahanna Ohio. upendo Nkone ni kati ya waimbaji wachache wa Tanzania ambao kwa sasa wanaenda nje ya nchi mara kwa mara kwa miariko ya kufanya huduma za uimbaji wa nyimbo za injili.  ikumbukwe katika albamu zake za dvd kuna nyimbo nyingine anarekodia nje ya inchi katika kubadilisha mazingila lakini pia kupata ubora wa kimataifa. cd hiyo imezinduliwa katika kanisa la kiswahili huko marekani ambalo liko chini ya mchungaji Nkone na imewekwa wakfu na mchungaji kiongozi wa kanisa hilo. Mchungaji wa kanisa la ANBC Donnis na Nnunu Nkone wakiiweka wakfu Album yake Upendo Nkonne Mchungaji Kiongozi na mke wake wakifuatilia tamasha hilo...

WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI WAGEUKIA NYIMBO ZA KISIASA

Picha
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kutokea katika chaguzi za miaka ya nyuma kwa waimbaji wa nyimbo za injili kujitosa na kuamua kuimba nyimbo zinazowahusu wana siasa hapa inchini. Hadi sasa waimbaji wengi wameshatoa nyimbo zao zinazowahusu wale wanaowaona kuwa wanafaa, mwimbaji Bahati Bukuku ametoa wimbo unaomhusu Lowasa na pia mwimbaji chipukizi Abu lev nae kaimba wimbo unaomhusu Lowasa, mwingine na Flora Mbasha ambaye nae ametoa wimbo unao mhusu Halima Mdee na ametangazwa kuwa pamoja na chama cha chadema katika kampeni zinazokuja. Na waimbaji wengine ambao ni Rose Mhando, Bonny Mwaitege, Martha Mwaipaja, Upendo Nkone wametoa wimbo unaomhusu Mwigulu Chemba na nyimbo hizo zote zinzpatikana katika mitandao ya kijamii. Baadhi ya watu waliozisikiliza nyimbo hizo wamekuwa na hisia za tofauti hasa kwa kundi kubwa kujitosa katika kuwaimbia wanasiasa, na hata wengine wamediliki kusema yamkini pesa ndizo zinawafanya wakubali kuimba nyimbo hizo, lakini huo ni upande mmoja wa shilingi na w...

USIKOSE SIKU 3 ZA MATUMAINI VCCT MBEZI BEACH

Picha
 KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

TAMASHA KUBWA LA COLUMBUS INTERNATIONAL GOSPEL MUSIC FESTIVAL NI LEO NA KESHO

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

KAMA UNA NAFASI USIPANGE KUKOSA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

TAMASHA KUBWA MWANZA KESHO,MALOPE NDANI YA NYUMBA WANA MWANZA TUKUTANE CCM KIRUMBA

Lile tamasha kubwa la pasaka linaloandaliwa na Msama promotion linalokwenda kwa jina la tamasha la pasaka kufanyika kesho jijini Mwanza. Katika tamasha hilo malkia wa nyimbo za Injili Africa yaani Rebecca Malope kutoka A Kusini atakuwepo, aidha waimbaji mbalimbali wa hapa nchini watakuwepo akiwapo malkia wa Injili TZ Rose Mhando John lishu na wengine wengi. Wewe mkazi wa Mwanza tafadhali usikose

JESCER MICHAEL NI CHIPUKIZI WA NYIMBO ZA INJILI, MWENYE KIPAJI CHA KUTUNGA NA KUIMBA, MALENGO YAKE NI KUUFIKIA ULIMWENGU KWA UIMBAJI.

Picha
Mkoa wa Dodoma ni kati ya mikoa ambayo kuna waimbaji maarufu wa injili hapa Tanzania vile vile iko mikoa kama Mbeya, Kigoma, Arusha, Dar na kwingineko. ukitaja jina kama Rose Mhando ni jina linalojulikana sana na ni malkia wa nyimbo za injili hapa Tanzania na hata kuweza kuweka mkataba na kampuni kubwa la mziki hapa Africa.  lakini katika mkoa huu wa Dodoma kuna waimbaji wengi sana ni under Ground na wengine ndo wana chipukia. Blog hii ilipata nafasi ya kuonana na baadhi ya waimbaji hao mjini Dodoma na kufanya nao mahojiano kujua machache katika huduma zao. kama mnavyojua na ni ukweli usio pingika kuwa kwa sasa mziki wa injili Tanzania umeshika hatamu kuliko miziki wowote. na hii ni kutokana na umahili na kazi nzuri zinazofanywa na watu wote katika muziki huu wa Gospel hii ni pamoja na waimbaji, wapigaji ala za muziki, maproduza wa audio na Video pamoja na wasambaji wa kazi hizi wamekuwa na mchango mkubwa, hii imeleta kutokea kwa uamusho na kuwa na waimbaji wengi wanaochipu...

TAMASHA LA PASAKA HIVI NDIVYO KEKE ALIVYOTOKELEZEA

Picha
Tamasha la Muziki wa Injili la Pasaka limefanyika  katika Mkoa wa Dar-es-Salaam na maelfu ya Watanzania walijitokeza  kushuhudia wanamuziki wa Injili kutoka nchi mbalimbali kama Tanzania, Kenya, UK, Zambia na Afrika Ya Kusini.   Tamasha la Pasaka ambalo huandaliwa na Msama Promotion hufanyika kila wakati wa Pasaka na Christmas hapa nchini ili kutoa fursa kwa Wakristo kutoka madhehebu mbalimbali.kuweza kukusanyika kwa pamoja na kumtukuza Mungu wao. Katika Siku ya jana Mgeni rasmi wa Tamasha hilo alikuwa Mhe. Bernard Membe aliyemwakilisha Rais Jakaya Kikwete ambaye kwa sasa yupo nje Kikazi.   Baadhi ya Wanamuizi wa injili waliohudumu ni Upendo Nkone, Upendo Kilahiro, Sara K kutoka Kenya, Glorious Worship Team, John Lisu, Mwanamuziki kutoka UK na Keke Kutoka South Africa. Malkia wa Muziki wa injili Rose Muhando alipanda Jukwaani Saa 2 Usiku ili kuwahudumia watu. Mhe. Benard Membe akisikiliza risala kutoka kwa Mchungaji Mwasota ambaye ni Mwenyeki...

WAIMBAJI WA TANZANIA KUSHIRIKI TAMASHA LA KIMATAIFA MAREKANI

Picha
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania Christina Shusho anatarajia kushiriki Tamasha la The International Gospel Music festival kwa Mwaka 2013, lililoandaliwa na Kanisa la All Nation Break Through lililoko lililoko Columbus, Ohio, USA chini ya Watumishi wa Mungu Pastor Donnis & Nnunu Nkone. Waimbaji wengine watakaoshiriki ni pamoja na Upendo Nkone, Pastor Daniel Kiza na Wengine wengi watakaoendelea kutangazwa siku chache zijazo. Taarifa zaidi kuhusu Muda na Sehemu zitatolewa hivi karibuni.  KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Follow Adonai Media