Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya The Voice

JUNE 21.2015 KUSIFU&KUABUDU NA MILCA KAKETE NI KATIKA KANISA LA VCCT NI BUREEEEEE KABISA USIKOSE

Picha
   Mwimbaji wa nyimbo za injili mtanzania anayeishi Canada jumapili hii atazindua albamu zake mbili kwa mpigo katika la VCCT mbezi beach, Katika uzinduzi huo atasindikizwa na the voice, Miriam Lukindo wa Mauki, Agel Magoti, na praise ya the river of Joy, tamasha hili litaanza saa 9:00 mchana na ni bureee kabisa hakuna kiingilio. KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

NJOO TUANZE SHAMRA SHAMRA ZA CHRISTMAS PAMOJA. WATU WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA.

Picha
 Siku ya Kesho Jumapili tarehe 21st December, 2014 Chomoza Ya Clouds Tv na Gospel Trucks (GT) ya Clouds FM wanakuletea Gospel Concert maalum kwa ajili ya Christmas (Christmas Carols) Kwenye Parking ya Mlimani City Mkabala na Ukumbi wa Mlimani City. Waimbaji wa Music wa Injili watakaokuwepo ni Rivers Of Life kutoka DPC, The Voice, Uinjilisti Kijitonyama, AIC Chang’ombe, Children's Choir kutoka DPC pamoja na Next Level Kutoka CCC Upanga. Event hii maalum ya Christmas itaanza kuanzia saa 1 jioni Mpaka saa 3:30 Usiku. HAKUNA KIINGILIO NI BURE KABISA. NJOO WEWE NA RAFIKI YAKO, NJOO TUANZE SHAMRA SHAMRA ZA CHRISTMAS PAMOJA. WATU WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA. Merry Christmas KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

NATAKA NIJUEE YA CHRISTINA SHUSHO LIVE CCC JUMAPILI

Picha
Katika Tamasha la Live Recording ya Christina Shusho... anategemea kuafanya collabo na waimbaji kadhaaa akiwepo Bro Joshua MLELWA ambaye mie binafsi yangu namkubaligi mbaaaya... i mean mbaaaya!!!! kwa wasio mfahamu Joshua aling'ara saana akiwa na kundi la Upendo Group kabla haja simama kivyake pamoja na mkewe. Huyu jamaa ananguvu ya ajabu saana awapo jukwaani and he is very anointed... Nakumbuka nilikuwa naye kwenye hudumua katika kanisa moja kahama wimbo wake wa "Ni wewe" ulitibua hali ya hewa kwa nguvu za Roho mtakatifu isivyo kawaida... Sasa TAREHE 24 pale CCC UPANGA, ataimba nyimbo zake lakini pia atafanya wimbo maalumu pamoja na CHRISTINA. Waimbaji wengine ambao watafanya collabo na Shusho ni UPENDO KILAHIRO na kundi la THE VOICE. DONT PLAN TO MISS THIS BIG EVENT. KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmale...

Follow Adonai Media