LADY JAY DEE NJOO UFANYIWE MAOMBI SHIDA YAKO ITAKWISHA
Wiki zilizopita niliona kichwa cha habari kwenye gazeti moja hapa nchini yenye habari ya Lady Jay Dee. akilalamika kufanya ngono na wanaume wengi usiku na anataka msaada. hili tatizo linawasumbua watu hasa vijana na ni wanaume kwa wanawake. nitazungumzia sana kwa wanawake ambako ninalenga kumsaidia Jide. na inahusika katika pande zote mbili. ndoto kama hizo huletwa na majini na si ndoto bali ni vitu halisia ambavyo hufanyika na humfanya mtu huyo kuamka akiwa amechoka wakati mwingine. na si tu kuota kufanya ngono wengine huota wana zaa na hata kunyonyesha kila usiku watoto ambapo akiamka usingizini hamuoni mtoto huyo. watu wenye mapepo kama haya si rahisi kuolewa maana mapepo huwa haya ruhusu kuolewa, na hata akiolewa ataachika mara kwa mara na kama akiolewa anaweza asipate mimba na kama akipata mimba itakuwa inatoka mara kwa mara na kama atazaa mtoto anaweza akufa akiwa na umri mdogo. hizo ni dalili za watu wenye kuolewa na majini. watu wa mila hudhani ni ufahali mtu kuwa...