Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Martha Mwaipaja

WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI WAGEUKIA NYIMBO ZA KISIASA

Picha
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kutokea katika chaguzi za miaka ya nyuma kwa waimbaji wa nyimbo za injili kujitosa na kuamua kuimba nyimbo zinazowahusu wana siasa hapa inchini. Hadi sasa waimbaji wengi wameshatoa nyimbo zao zinazowahusu wale wanaowaona kuwa wanafaa, mwimbaji Bahati Bukuku ametoa wimbo unaomhusu Lowasa na pia mwimbaji chipukizi Abu lev nae kaimba wimbo unaomhusu Lowasa, mwingine na Flora Mbasha ambaye nae ametoa wimbo unao mhusu Halima Mdee na ametangazwa kuwa pamoja na chama cha chadema katika kampeni zinazokuja. Na waimbaji wengine ambao ni Rose Mhando, Bonny Mwaitege, Martha Mwaipaja, Upendo Nkone wametoa wimbo unaomhusu Mwigulu Chemba na nyimbo hizo zote zinzpatikana katika mitandao ya kijamii. Baadhi ya watu waliozisikiliza nyimbo hizo wamekuwa na hisia za tofauti hasa kwa kundi kubwa kujitosa katika kuwaimbia wanasiasa, na hata wengine wamediliki kusema yamkini pesa ndizo zinawafanya wakubali kuimba nyimbo hizo, lakini huo ni upande mmoja wa shilingi na w...

Follow Adonai Media