Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya ROSE MHANDO WOLOLO

UJIO WA WIMBO MPYA WA ROSE MHANDO, JIWE CHINI YA SONY MUSIC

Picha
Msanii maarufu namba moja wa Africa Mashariki wa nyimbo za injili amefyatua   kibao cha pili kingine kilichotengenezwa katika studio za Sony Music Africa, ambapo kibao cha kwanza kiliitwa Wololo kilichobeba albam ya Yesu Kung’uta chini ya usimamizi wa Rock star 4000 na kupatikana rasmi kupitia kampuni ya Mkito.com   Wimbo wa jiwe umetengenezwa na kuchezwa na Rose Muhando ambapo kupangiliwa na kuzalishwa na Yusuph Mayige katika Studio ya Sony Music Afrika na kuendelezwa na   kuongezewa vionjo na   Rockstar 4000.   " Rose Muhando asema wimbo huu unatambulisha kuwa  naniataendelea kuitawala hii  dunia na kila kilichomo  ndani yake, katika dunia hii  ya sasa , tunapoteza uaminifu  nakumsahau Mungu katika  kutawala kila kitu. Ni miminatakiwa kuweka muda  wa kumkumbuka na kumsifuyeye  kwa nj...

JESCER MICHAEL NI CHIPUKIZI WA NYIMBO ZA INJILI, MWENYE KIPAJI CHA KUTUNGA NA KUIMBA, MALENGO YAKE NI KUUFIKIA ULIMWENGU KWA UIMBAJI.

Picha
Mkoa wa Dodoma ni kati ya mikoa ambayo kuna waimbaji maarufu wa injili hapa Tanzania vile vile iko mikoa kama Mbeya, Kigoma, Arusha, Dar na kwingineko. ukitaja jina kama Rose Mhando ni jina linalojulikana sana na ni malkia wa nyimbo za injili hapa Tanzania na hata kuweza kuweka mkataba na kampuni kubwa la mziki hapa Africa.  lakini katika mkoa huu wa Dodoma kuna waimbaji wengi sana ni under Ground na wengine ndo wana chipukia. Blog hii ilipata nafasi ya kuonana na baadhi ya waimbaji hao mjini Dodoma na kufanya nao mahojiano kujua machache katika huduma zao. kama mnavyojua na ni ukweli usio pingika kuwa kwa sasa mziki wa injili Tanzania umeshika hatamu kuliko miziki wowote. na hii ni kutokana na umahili na kazi nzuri zinazofanywa na watu wote katika muziki huu wa Gospel hii ni pamoja na waimbaji, wapigaji ala za muziki, maproduza wa audio na Video pamoja na wasambaji wa kazi hizi wamekuwa na mchango mkubwa, hii imeleta kutokea kwa uamusho na kuwa na waimbaji wengi wanaochipu...

PICHA ZA MATUKIO YA IBADA YA SHUKRANI YA KUTIMIZA MWAKA MMOJA WA KANISA LA TAG MOROCCO CWC (CITY WORSHIP CENTRE) KWA MCH TIMOTH MWITA

Picha
KANISA LA CWC NI KANISA LA LILILO CHINI YA TAG AMBALO LINAONGOZWA NA MCH TIMOTH MWITA. KANISA HILO LILIFUNGULIWA MWAKA JANA TAR 03/02/2013 NA SASA NI MWAKA MMOJA TANGU KUANZISHWA KANISA HILO LIMEFANYA IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTIMIZA KWAKA MMOJA CHINI NI PICHA ZA MATUKIO. Mwimbaji Chapa Nyota akiimba Watumishi wakifuatilia Jambo madhabahuni.   Mch Timoth akiombea wahitaji wakati wa ibada Maombi na maombezi yakiendelea Hawa ndio waliookoka katika ibada hiyo Watumishi waliokuwa wamealikwa Praise team ya CWC wakiwa kazini Mwimbaji mkongwe wa Injili Amoni kilahiro alikuwepo kuhakikisa uimbaji unakaa sawa. Mch Kiongozi Timoth akikabidhi zawadi ya picha kwa mkurugezi wa chuo cha Sunrise kwa kuruhusu kutumia eneo la shule yake na kujitolea katika mambo mengi ya kanisa hilo. Mama huyu ambaye ni mkurugenzi mkuu wa shule ya Sunrise akitoa shukrani zake baada ya kanisa kumpatia  zawadi ya picha. Mama h...

ROSE MHANDO NA WIMBO WAKE MPYA WA WOLOLO CHINI YA SONY SOUTH AFRICA

Picha
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Follow Adonai Media