Mwimbaji wa nyimbo za injili mtanzania anayeishi Canada jumapili hii atazindua albamu zake mbili kwa mpigo katika la VCCT mbezi beach, Katika uzinduzi huo atasindikizwa na the voice, Miriam Lukindo wa Mauki, Agel Magoti, na praise ya the river of Joy, tamasha hili litaanza saa 9:00 mchana na ni bureee kabisa hakuna kiingilio.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni