Mwanamziki wa kenya anayejulikana kwa jina la SIZE 8 ameamua kumkabidhi Yesu maisha yake.
habari zilizoifikia blog hii zimesema kuwa mwanamziki huyo ambaye wazazi wake ni watumishi wa Mungu alijikuta anakosa amani, ijapo alikuwa na mahitaji yote mhimu ikiwapo usafiri, fedha za kutumia na hakupungukiwa katika mahitaji yake ila mara nyingi alikuwa akikosa amani na ndipo alipoamua kumkabizi Yesu maisha yake na sasa anaendele kumwimbia Yesu na ametoa wimbo unaoitwa Mateke,(Yesu kampiga mateke shetani) gonga hapo chini ujionezee mwenyewe

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671
AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni