Adonai Media is a Christian platform dedicated to spreading the Gospel of Jesus Christ through biblical teachings, sermons, Bible studies, Christian articles, and digital ministry resources. Our mission is to teach, equip, and inspire believers through the Word of God.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671
AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
UNAWEZA KUSOMA AU KU DOWNLOAD BIBLIA YA KISWAHILI HAPA Biblica | Kiswahili - Swahili Bible Download KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Kuanzia jana kumekuwa na post kutoka kwa watu tofauti tofauti katika mitandao ya kijamii kutokana na kifo cha aliyekuwa mwanzilishi wa kanisa la siloam nabii Eliya. moja ya post ni hapo chini. Kuna habari zinaenea kwa kasi katika mitando ya kijamii ya kwamba ,mwenye mafundisho tata ,Ndungu Munuo,aka Adamu wa Pili, Nabii Eliya, Bwana wa Majeshi, Mjumbe wa Mapenzi ya Mungu wa Kizazi cha Nne, Amefariki Dunia jana usiku, Mpaka sasa hakuna tangazo rasmi la Kanisa la Siloam. Sitofahamu hiyo inatokana na kutokuwa na taarifa za uwazi za kifo chake. kutokana na sintofahamu hiyo blog hii ilifanya mawasiliano na mmoja wa washirika wake kutaka kujua uharisia wa jambo hilo Kwa mujibu ya Mshirika niliyeongea nae amesema kuwa nabii Elia amelala na wala hajafa na hakuna kulia maana aliwaaga watu wote wakiwamo ndugu zake na familia yote na jambo hili lilikuwa linajulikana kuwa atalala na alishatafuta hadi mrithi wake ambaye ataendeleza kazi. anategemewa kulazwa mlima wa moto (nyumbani kw...
Nini maana ya kusifu na kuabudu KUSIFU NA KUABUDU ni maneno tofauti na yana maana tofauti 1. kusifu MAANA --- nikuelezea wasifu au wajihi za kitu au mtu. Sasa tunaposema tunamsifu Mungu inamaanisha ni KWA KUMUINUA JUU, KUSHUKURU KUMPAZIA SAUTI,KUFANYIA SWANGWE, KUJISHUSHA CHINI YAKE KWA UNYEYEKEVU,nk Zaburi 100:4 Neno hili kusifu kwa kiebrania lilikuwa na maana ya; Tehila, yaani kutamka neno kwa kuongeza vionjo na mbwembwe zaidi. Mfano neno haleluya unalitamka (Ha, ha leluya huuu eee) Tehila ni kuwa kama kichaa unaposifu au kuabudu kwa utukufu wa Bwana. (Nilidhani labda hapa ndipo waswahili walipopata neno taahila). Yadaa yaani kujiachia kwa Mungu (you just surrender yourself to the Lord). Barak yaani kusaluti mbele za Bwana. Ni kuonyesha kwamba ni yeye peke yake anayestahili heshima na utukufu. Huwezi kumpigia saluti mtu usiyemwona, hivyo ni kwa njia ya kumwabudu Mungu katika roho na kweli ndipo tunapomwona kama alivyo na utukufu wake 2. Kuabudu Neno la Kiebrania shach...
Maoni