Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Alex Joseck Kingdom Media. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Alex Joseck Kingdom Media. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 11 Mei 2015

KARIBU UTAZAME VIDEO TEASER YA WIMBO MPYA WA UPENDO KILAHIRO


Y1
Kwa mara ya kwanza tazama teaser ya wimbo mpya wa Upendo Kilahiro (FICHO LANGU) akiwa ameufanya nchini Marekani  chini ya Kampuni ya Kingdom Entertainment.
Official music video world premiere inakujia kwa hisani kubwa ya Chomoza ya Clouds TV show,Kingdom Entertainment,na Kiango Media     
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Ijumaa, 9 Januari 2015

ANGALIA WIMBO DAMU YA YESU WA LILIAN MARIKI

Wimbo kutoka Kingdom entertainment

          
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Jumanne, 9 Desemba 2014

MSHIRIKI WA HEAVEN TALENT FLAVOR SEARCH BENJAMINI KISUMO YUKO KARIBU KUPAKUWA ALBAMU YAKE SIKIA WIMBO MMOJA HAPA

Mshiriki wa heaven talent flavor search iliyokuwa ikirushwa kwenye kituo cha tv TBC1 Benjamini Kisumo, huko mbioni kupakuwa albamu yake hivi karibuni, akizungumza na blog hii alisema albamu hiyo inapikwa na producer mahiri mkoani Dodoma Sam Richard, kwa sasa tuko kwenye touch za mwisho kabisa kwa baadhi ya nyimbo.

Itakuwa tayari hivi karibuni na kila kitu kimefanya na Sam na ninamshukuru producer wangu kwa kuweza kushirikiana nami kufanikisha kazi hii kubwa alisema Benja. Albamu hiyo ina nyimbo 8 na itakwenda kwa jina la Nimesikia habari zako.

Benja akiwa na Producer Sam na Elia

Producer Sam Richard akiwa kazini

Kuingiza Vocal 

Kila kitu kinawekwa sawa.

 Unaweza kusikiliza wimbo mmoja hapa.

Blog hi inamtakia mafanikio mema katika kukamilisha kazi yake na Bwana ambariki.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Jumatatu, 17 Novemba 2014

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA NEEMA NG'ASHA WAENDELEA USIKOSE TAMASHA HILI

Maandalizi ya uzinduzi wa albamu mpya ya mwimbaji Neema Ng'asha yanaendelea huku siku zikiisha kuikaribia siku hiyo.Albam hiyo inayokwenda kwa jina tunaye Bwana itazinduliwa tar 14/12/2014uzinduzi huo umedhaminiwa na come &see promoters. tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyozipata kutoka kwa mhusika Neema. Blog hii inamtakia maandalizi mema ktk kuelekea siku ya uzinduzi


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Ijumaa, 29 Agosti 2014

TAMASHA KUBWA LA COLUMBUS INTERNATIONAL GOSPEL MUSIC FESTIVAL NI LEO NA KESHO

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Jumatano, 16 Julai 2014

GAZUKO KUIWAKILISHA TANZANIA KATIKA TUZO ZA AGMA, SHUSHO KAMA KAWAIDA NAE YUMO

 Mwimbaji wa nyimbo za Gospel hip hap anayekuja kwa kasi hapa Tanzania, Gazuko amekuwa kati ya waimbaji kutoka sehemu mbalimbali kugombea tuzo ya mwanamziki bora katika Rap. Africa Gospel Music Awards ambao hutoa tuzo hizo kila mwaka, wametoka orodha ya waimbaji walioingia katika kinyanganyilo hicho. Gazuko ambaye sasa anatamba na kibao chake Acha kulia kilichorekodiwa na Kingdom Media ya Marekani. Big up kwao kingdom media kwa kuibua kipaji hiki mpaka kimataifa.

mwimbaji mkongwe hapa nchini Shusho nae yumo katika kuwakilisha vilivyo nchi yetu Shusho ambaye si mara yake ya kwanza amekuwa akishiriki sana katika medali hii ya tuzo za kimataifa kila la heri na tuwapigie kura waimbaji wetu katika tuzo hizo.


 Ikumbukwe kuwa mwaka jana katika tuzo hizi walioshiriki alikuwa Shusho na M. Mwaipaja, mwaka huu amekuwa Shusho na Gazuko mwa YOM tunatakiwa kuwapigia kura ili waweze kutwaa tuzo hizo ili kupiga kura fuata link hii  http://www.africagospelawards.com/ na utabonyeza sehemu iliyoandikwa nominations/vote kilele cha tuzo hizo ni Tar 25 Agasti 2014.

Afro Rap Artiste of the Year
1. MOG (Netherlands)
2. SI Unit(Ghana)
3. Cjay (South Africa)
4. Pompi (Zambia)
5. VKP (Kenya)
6. Kris Eeh Baba (Kenya)
7. Gaise (Nigeria)
8. Provabs (Nigeria)
9. Andrew Bello (UK)
10. Lyrical Soldier (UK)
11. Royal Priesthood (Ghana)
12. Dolly P(UK)
13. X-Caliber (Botswana)
14. Gazuko (Tanzania)
15. Preachers(Ghana)


AGMA 2014
Artiste of the Year East Africa

1. Eunice Njeri (Kenya)
2. Christina Shusho (Tanzania)
3. Jimmy Gait (Kenya)
4. Bahati (Kenya)
5. Julie Mutesasira(Uganda)
6. Jackie Senyonjo (Uganda)
7. ELIAS GEMECHU (Ethiopia)
8. Solomon Mkubwa (Tanzania)
9. Meskerem Getu (Ethiopia)
10. Sarah K.(Kenya)
11. Gloria Muliro

 
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Jumapili, 11 Mei 2014

HUYU MWANAUME DUUUUH HEBU MWANGALIE MWENYEWE( CHRISTIAN CLIP)

Tabia ya Matilda yabadilika ghafla ndani ya ndoa, mumewe John anachanganyikiwa nusura aikimbie nyumba. Matilda alipoulizwa, jibu lake liliipindua ndoa nzima. Angalia ujue ni siri gani Matilda aliyoilipua.

Baada ya mfumo wake wa ndoa kwenda kusikoeleweka, kwa hofu nyingi na ghadhabu, John anaamua kwenda na mke wake Matilda katika Ofisi ya Ushahuri wa ndoa, katikati ya maongezi Matilda anafungua siri kubwa iliyopindua ndoa nzima ya John, na kumfanya ajione ni mjinga sana, huku Mshahuri akibakia Mdomo wazi... Ni siri gani hiyo?, Fuatilia kisa hiki katika filamu fupi hii ya kikirsto, itakayokufanya umfikirie Mungu kwa upya katika ndoa yako.  

https://www.youtube.com/watch?v=aqeUQMJ2rCM&feature=youtu.be&a

 KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Jumatano, 30 Aprili 2014

WIMBO WA ROHO SHUKA WA MIRIAM LUKINDO ULIOTENGENEZWA NA KINGDOM MEDIA HUU HAPA. ANGALIA

Ule wimbo wa Mirium Lukindo wa Mauki uliokuwa unasubiriwa kwa hamu ambao video yake imetengenezwa na kampuni kutoka marekani ijulikanayo kwa jina la kingdom media sasa umeshatoka unaweza kuuona hapa, wimbo huo unaokwenda kwa jina la Roho shuka ambayo ni wa kuabudu.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, what up 0784477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com