Jumatano, 16 Julai 2014

GAZUKO KUIWAKILISHA TANZANIA KATIKA TUZO ZA AGMA, SHUSHO KAMA KAWAIDA NAE YUMO

 Mwimbaji wa nyimbo za Gospel hip hap anayekuja kwa kasi hapa Tanzania, Gazuko amekuwa kati ya waimbaji kutoka sehemu mbalimbali kugombea tuzo ya mwanamziki bora katika Rap. Africa Gospel Music Awards ambao hutoa tuzo hizo kila mwaka, wametoka orodha ya waimbaji walioingia katika kinyanganyilo hicho. Gazuko ambaye sasa anatamba na kibao chake Acha kulia kilichorekodiwa na Kingdom Media ya Marekani. Big up kwao kingdom media kwa kuibua kipaji hiki mpaka kimataifa.

mwimbaji mkongwe hapa nchini Shusho nae yumo katika kuwakilisha vilivyo nchi yetu Shusho ambaye si mara yake ya kwanza amekuwa akishiriki sana katika medali hii ya tuzo za kimataifa kila la heri na tuwapigie kura waimbaji wetu katika tuzo hizo.


 Ikumbukwe kuwa mwaka jana katika tuzo hizi walioshiriki alikuwa Shusho na M. Mwaipaja, mwaka huu amekuwa Shusho na Gazuko mwa YOM tunatakiwa kuwapigia kura ili waweze kutwaa tuzo hizo ili kupiga kura fuata link hii  http://www.africagospelawards.com/ na utabonyeza sehemu iliyoandikwa nominations/vote kilele cha tuzo hizo ni Tar 25 Agasti 2014.

Afro Rap Artiste of the Year
1. MOG (Netherlands)
2. SI Unit(Ghana)
3. Cjay (South Africa)
4. Pompi (Zambia)
5. VKP (Kenya)
6. Kris Eeh Baba (Kenya)
7. Gaise (Nigeria)
8. Provabs (Nigeria)
9. Andrew Bello (UK)
10. Lyrical Soldier (UK)
11. Royal Priesthood (Ghana)
12. Dolly P(UK)
13. X-Caliber (Botswana)
14. Gazuko (Tanzania)
15. Preachers(Ghana)


AGMA 2014
Artiste of the Year East Africa

1. Eunice Njeri (Kenya)
2. Christina Shusho (Tanzania)
3. Jimmy Gait (Kenya)
4. Bahati (Kenya)
5. Julie Mutesasira(Uganda)
6. Jackie Senyonjo (Uganda)
7. ELIAS GEMECHU (Ethiopia)
8. Solomon Mkubwa (Tanzania)
9. Meskerem Getu (Ethiopia)
10. Sarah K.(Kenya)
11. Gloria Muliro

 
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni