Jumatatu, 17 Novemba 2014

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA NEEMA NG'ASHA WAENDELEA USIKOSE TAMASHA HILI

Maandalizi ya uzinduzi wa albamu mpya ya mwimbaji Neema Ng'asha yanaendelea huku siku zikiisha kuikaribia siku hiyo.Albam hiyo inayokwenda kwa jina tunaye Bwana itazinduliwa tar 14/12/2014uzinduzi huo umedhaminiwa na come &see promoters. tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyozipata kutoka kwa mhusika Neema. Blog hii inamtakia maandalizi mema ktk kuelekea siku ya uzinduzi


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni