Jumanne, 9 Desemba 2014

MSHIRIKI WA HEAVEN TALENT FLAVOR SEARCH BENJAMINI KISUMO YUKO KARIBU KUPAKUWA ALBAMU YAKE SIKIA WIMBO MMOJA HAPA

Mshiriki wa heaven talent flavor search iliyokuwa ikirushwa kwenye kituo cha tv TBC1 Benjamini Kisumo, huko mbioni kupakuwa albamu yake hivi karibuni, akizungumza na blog hii alisema albamu hiyo inapikwa na producer mahiri mkoani Dodoma Sam Richard, kwa sasa tuko kwenye touch za mwisho kabisa kwa baadhi ya nyimbo.

Itakuwa tayari hivi karibuni na kila kitu kimefanya na Sam na ninamshukuru producer wangu kwa kuweza kushirikiana nami kufanikisha kazi hii kubwa alisema Benja. Albamu hiyo ina nyimbo 8 na itakwenda kwa jina la Nimesikia habari zako.

Benja akiwa na Producer Sam na Elia

Producer Sam Richard akiwa kazini

Kuingiza Vocal 

Kila kitu kinawekwa sawa.

 Unaweza kusikiliza wimbo mmoja hapa.

Blog hi inamtakia mafanikio mema katika kukamilisha kazi yake na Bwana ambariki.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Hakuna maoni: