Jumapili, 11 Mei 2014

HUYU MWANAUME DUUUUH HEBU MWANGALIE MWENYEWE( CHRISTIAN CLIP)

Tabia ya Matilda yabadilika ghafla ndani ya ndoa, mumewe John anachanganyikiwa nusura aikimbie nyumba. Matilda alipoulizwa, jibu lake liliipindua ndoa nzima. Angalia ujue ni siri gani Matilda aliyoilipua.

Baada ya mfumo wake wa ndoa kwenda kusikoeleweka, kwa hofu nyingi na ghadhabu, John anaamua kwenda na mke wake Matilda katika Ofisi ya Ushahuri wa ndoa, katikati ya maongezi Matilda anafungua siri kubwa iliyopindua ndoa nzima ya John, na kumfanya ajione ni mjinga sana, huku Mshahuri akibakia Mdomo wazi... Ni siri gani hiyo?, Fuatilia kisa hiki katika filamu fupi hii ya kikirsto, itakayokufanya umfikirie Mungu kwa upya katika ndoa yako.  

https://www.youtube.com/watch?v=aqeUQMJ2rCM&feature=youtu.be&a

 KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni