Ijumaa, 18 Septemba 2015

THE JORDAN BAND NI MOTO MWINGINE.WAFANYA KWELI KWENYE UZINDUZI WAO



IMG_7680
Band ya The Jordan yenye maskani yake Msasani ikiongozwa na Dani Mbepela…wamefanya uzinduzi wa Audio CD yao inayo tambulika kwa jina FAHARI YANGU ikiwa na nyimbo 13. Band hii nathubutu kusema ni Band yenye staili ya tofauti na Band za Gospel hapa Tanzania. Mtindo wanao utumia kuimba pamoja na kucheza umebeba maudhui ya kitamaduni yakiwa yana vionjo tofauti na muziki wa Gospel tulio kwisha uzoea. Asikuambie mtu mdau wangu ukipata time ya kuwashuhudia jukwaani utakubaliana na maneno yangu…. 12/9/2015 The Jordan Band wamefanya kweli na hakunaga tena. Mbali na kuzindua Audio CD yao walikuwepo watu maarufu kama King Chavala,Pastor Joshua,Mese Jacob,Paul Clement,Bomby Johnson na wengine wengi. Uzinduzi huu ulifanyika katika ukumbi wa Vijana Social Hall Mwananyamala Dar es salaamu
Kwa hisani ya Unclejimmytemu enjoy na matukio ya picha mdau wangu!
IMG_7639
Kwaya ya Vijana Kijitonyama walikuwepo kutoa support ya nguvu kwa The Jordan Band
IMG_7640 IMG_7641
Warembo wa Kwaya ya Vijana Kijitonyama kwenye mic
IMG_7643 IMG_7645 IMG_7649
Show nzima ilisimamiwa na Mc Fred Msungu a.k.a (Chief Dady)
IMG_7652
IMG_7659 IMG_7660 IMG_7662
Kiongozi wa Band ya The Jordan Ministry (Dani Mbepela) kama kawa akienda sawa.

IMG_7665
Hapo vipi iko pouwaaa!!
IMG_7667 IMG_7668 IMG_7669 IMG_7672
Hawa wa Kaka wa wili weka mbali na watoto….hatariiii
IMG_7673 IMG_7676 IMG_7678 IMG_7679 IMG_7682 IMG_7683 IMG_7684 IMG_7686 IMG_7689 IMG_7690
Mese Chengula akienda sawa mtu wangu..
IMG_7691
Watu na Staili zao wakienda sawa mdau wangu.
IMG_7692 IMG_7693
Usifanye mchezo na The Jordan wakiwa Live….Kila aliye kaa kwenye kiti unyanyuka.
IMG_7694
Kitu cha mwendooo!!

KWA HISANI YA UNCLE JIMMY

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Hakuna maoni: