Hiyo picha hapo ni magongo ya walemavu yaliyo tundikwa juu ya kuta za kanisa baada ya kupokea uponyaji.
Njee ya Kanisa kama kuonekanavyo…..
Madhabau ya Prophet MAGAYA.
Hii ni sehemu maalumu kwajili ya kuomba.Ni sehemu iliyo zungushiwa fensi na kuwekwa mchanga ambao uliwekwa wakfu na Prophet MAGAYA.Wageni mbalimbali ufika sehemu hii na kuomba na kubeba mchanga huoo.
Nimwendo wa S….huyo Dada hapo mbele ndiye anaye husika na kupokea wageni na kuwazungusha katika Kanisa hilo.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni