Kama umekosa siku ya leo katika viwanja vya jangwani ndani ya Tamasha la Love Tanzania tambua umepitwa na mengi....watu mashuhuru katika tasnia ya muziki wa injili ndani na nje ya Tanzania wamekuwa wakifanya vitu vya ajabu..Kama umekosa napenda kuchukua fursa hii kukuambia pole lakini bado hujachelewa siku ya kesho ambaapo Tamasha hili litaendelea usikose kuhudhuria....Njoo ujione watu wanavyompenda Mungu..
Hapa akiendelea na kujaribu vyombo na namna atakavyoperfom jioni hii |
Tunapoongea sasa hivi hawa jamaa ndio wanamalizia shughuli za hii kazi unayoiona |
Sio miujiza ni kweli na ajabu kama umekosa hembi ona kazi inavyoendelea |
Hii ndio stage ya Kazi toka asubuhi ya leo |
Huyu ni mmoja ya wadau waliohudhuria kwenye Love Festival toka asubuhi ya leo Miss Gladness Kilemile |
Hili ndilo enelo la waandishi wa habari lilotengwa |
Toka asbuhi watu mejaa wakiwa tayari kukutana na Mungu aliye hai |
Hapa ndipo eneo la wahudumu walipokuwa wanapewa maelekezo |
Hili ndilo eneo maalumu lilotengwa kwa ajili ya mchezo wa Baiskeli na Pikipiki |
Wote hawa wakiwa tayari kwa
kuangalia michezo ya Baiskeli na Pikipiki
|
Hawa wote wakicheki jinsi mchezo wa pikipiki unavyoendelea |
Watoto nao hawakuachwa nyuma hapa ndipo walikuwa wakifanya michezo mbali mbali |
Hiyo yote unaiona hapo juu ni mchezo mbali mbali ambayo imekuwepo siku ya leo hapa viwanja vya jangwani |
Hawa ndio wahudumu wetu wakiwa wamevalia uniform maalum |
Hawa nao walikuwa ndani ya nyumba tayari kushuhudia tukio linaloendelea hapa jangwani |
Mpaka na vyoongea sasa hapa jangwani kumejaa mpaka kumetapika |
Huyu ndie mtaalamu wa
michezo ya watoto hapa Ulimwenguni |
Uncle Jimmy akiwa na Upendo Kilahiro tayari kwa kazi hapa viwanja vya jangwani |
Papa The Blogger ndani ya nyumba na Swahiba wake Prosper Alfred Mwakitalima |
Mtaalamu wa Michezo mbali mbali ya watoto akiwa on the Stage huku mtoto mmoja wapo akijiondokea na Jezi ya Man unted full set plus mpira wa Adidas from Old Trafford |
Hawa ndio wanaume wawili walioshusha burudani ya Pikipiki muda sio mrefu |
Huyu ni moja ya Wanaume wachache waliocheze Baiskel kwa nama ambayo sijawahi ona.....ana umri zaidi ya miaka 32 na mbili lakini hatari tupuuu |
Twende kazi hapa uone Baiskeli inavyorudi kinyume nyume ....yaani rivasi |
habari kwa hisani ya Jacqueline Moshi
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni