Yule mwimbaji wa nyimbo za injili Ambwene Mwasongwe ambaye kwa musa sasa alikuwa hajatoa nyimbo mpya sasa amesha kamilisha albamu yake ya 3 na itatoka muda si mrefu. albamu hiyo aliyoipa jina la Misuli ya Imani imesha kamilika na muda si mrefu itakuwa sokoni. Ambwene ametoa taarifa hizo kwenye ukrasa wake wa facebook. hivyo kaa mkao wa kula kusubiri utamu wa albamu hiyo.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni