Macho ya watu wengi leo na kesho ni katika kumuona yule mwimbaji wa kimataifa ambaye amekuwa akikoga mioyo ya watu kwa nyimbo zake zenye mguso wa kipekee si mwingine bali ni Don Moen
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Don akijaribu vyombo Jangwani leo asubuhi Tukutane jangwani usisubiri kusimuliwa |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni